Radio Tadio

Fahari

12 November 2025, 12:46 pm

Daladala zipakie na kushusha abiria katika vituo rasmi

Abiria pia wanapaswa kuwa waelewa na waache kuomba kushushwa vituo visivyo rasmi. Na Farashuu Abdallah.Madereva wa daladala wametakiwa kupakia na kushusha abiria katika vituo rasmi ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea. Hayo yamesemwa na Afisa Mfawidhi kutoka mamlaka ya usafirishaji Mkoa…

5 September 2025, 5:40 pm

Wakazi Ihumwa wahofia ajali madereva kutozingatia sheria

Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 na marekebisho yake, kila dereva wa chombo cha moto anatakiwa kuendesha kwa kasi isiyozidi viwango vilivyowekwa, kuzingatia alama na michoro ya barabarani, pamoja na kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu…

10 February 2025, 6:12 pm

Akamatwa kwa kusafirisha dawa za kulevya

Jeshi polisi Mkoa wa Dodoma limetoa onyo kwa wote wanaojihusisha na uhalifu na kutoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao. Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia kijana anaefahamika kama Omar Bakari…

24 January 2025, 1:55 pm

Jeshi la Polisi Manyara lakamata pikipiki 80 zinazovunja sheria

Makosa hayo nikutokuwa nakofia ngumu pamoja na Makosa Mengine. Na Kitana Hamis.Akizungumza kuhusu Operesheni hiyo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara Ahmed Makarani amesisitiza kuwa Jeshi hilo litawachukulia hatua kali za Kisheria Madereva watakaokiuka Sheria za Usalama Barabarani…