Radio Tadio
Ebola
4 October 2022, 12:41 pm
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola
Na;Mariam Matundu. Wakazi wa Dodoma wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola kwa kuepuka kula nyama pori ambazo hazija kaguliwa na wataalamu , kuepuka mikusanyiko pamoja na kuzingatia suala la unawaji mikono mara kwa mara. Tahadhari hiyo imetolewa Dkt…
19 October 2021, 10:58 am
Vyombo vya habari vimetakiwa kuboresha mwonekano wa watafsiri wa lugha za alama.
Na; Thadei Tesha. Vyombo vya habari vimeshauriwa kutoa kipaumbele kwa Watu wenye ulemavu wa kutosikia kwa kuboresha mwonekeno wa watafsiri wa lugha ya Alama. Wito huo umetolewa na Bi Joyce Masha ambaye ni mkurugenzi wa shirika la Foundation for disability…