Radio Tadio

EAGT

19 Machi 2026, 16:53

Baadhi ya vijana Ndogowe watelekeza mashamba yao

Hayo yanajiri baada ya vijana wa mradi wa Jenga kesho iliyo bora (BBT)Kijiji Cha Ndogowe kuonekana kushindwa kuendelea na palizi katika mashamba Yao yaliyopo katika mpango huo . Na Victor Chigwada. Wanufaika wa mradi wa Jenga kesho iliyo bora BBT…

11 Febuari 2026, 15:50

Mfumo wa kilimo bando kurahisisha huduma kwa wakulima

Kupitia mfumo huo wa kidijitali, wafanyabiashara na wakulima wataweza kutunza kumbukumbu zao za biashara kwa urahisi, kupanua wigo wa masoko, na kuongeza ajira kwa vijana na wanawake kupitia mnyororo mzima wa thamani wa kilimo. Na Anwary Shaban Takribani asilimia 65…

10 Febuari 2026, 10:37

Serikali yatoa mwelekeo wa kuongeza mbegu himilivu

Kwa Tanzania na nchi nyingine zinazokabiliwa na ukame, uwekezaji katika mbegu himilivu na kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi si hiari tena—ni hitaji la dharura. Na Mariam Kasawa. Katika miaka ya karibuni, mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuitikisa dunia, yakiacha athari kubwa…