Radio Tadio
Dodoma
31 March 2023, 6:50 pm
Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma
Upungufu wa mvua umepelekea mazao yaliyopandwa kushindwa kuvunwa kama matarajio ya Mkoa yalivyokuwa. Na Mindi Joseph. Mkoa wa Dodoma unakabiliwa na tishio la kupata upungufu wa chakula kwenye baadhi ya maeneo kutokana na mvua zilizotarajiwa kwa msimu huu kunyesha chini…