Radio Tadio

CAG

1 December 2025, 4:54 pm

Wananchi Ihumwa waipongeza NIDA kwa kusogeza huduma karibu

Kupitia taarifa ya 2024, NIDA imejisajili na kutambua jumla ya watu miloni 24.5 tangu kuanzishwa kwa zoezi (2012). Kutoka idadi hiyo, NIDA imetoa Namba za Utambulisho (NIN) kwa watu milioni 20.8 Na Victor Chigwada.Wananchi wa mitaa ya Ihumwa,Chilwana na Chang’ombe…

30 October 2024, 6:30 pm

Kitambulisho cha taifa ni muhimu kwa fursa za kiuchumi

Na. Anselima Komba. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka vijana waliofikisha umri wa miaka 18 kujiandikisha ili kupata kitambulusho cha Taifa ili kukabiliana na fursa za kiuchumi . Afisa usajili Wilaya ya Bahi  NIDA Bwn. Ombeni Ngowo ametoa wito…