Radio Tadio

bunifu

8 June 2022, 1:36 pm

Vyuo vinavyo sajili Bunifu vyatakiwa kuwaendeleza wabunifu

Na;Mindi Joseph . Vyuo vinavyosajili Bunifu Hapa Nchini na Sekta Binafsi zimeombwa kuendelea kuwawezesha  na kuwaendeleza wabunifu ili waweze kuuza  kazi zao ndani na nje ya nchi. Akizungumza na Taswira ya Habari Mwenyekiti wa Baraza la Elimu ya Ufundi na…

18 May 2022, 3:21 pm

Bunifu 26 kati ya 200 zafanikiwa kuwa bidhaa na kutumika

Na;Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa bunifu 26 kati ya 200 zilizoendelezwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) zimefanikiwa kuwa bidhaa na kutumika katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo maji na nishati. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia…