Bunge
11 October 2024, 7:25 pm
Uwiano kazi za nyumbani wahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu
Mgawanyo sawa wa kazi za nyumbahi wahahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu Majukumu mengi ya kazi za nyumbani kwa mtoto wa kike imetajwa kuwa sababu inayorudisha nyuma maendeleo ya elimu. Afisa Miradi kutoka Action For community care Fatma Kibasa amesema…
15 November 2023, 5:31 pm
Ifahamu Miswada mitatu iliyo wasilishwa bungeni wiki iliyopita
Yapo mambo mazuri waliyobaini baada ya Miswada hiyo kuwasilishwa Bungeni ikiwa ni pamoja na vyama vya Siasa kuwa na Sera ya mambo ya Ujumuishwaji ya Kijinsia na Makundi Maalum,Vyama vya Siasa kuwa na Mipango ya kuimarisha ushiriki wa wanawake,Vijana na…
8 May 2023, 3:53 pm
Kamati ya kuduma ya bunge ya maji na mazingira yatembelea bwawa la mtera
Mradi wa Maji mtera unategemewa kuongeza maji na kufika jumla ya lita milioni 201 ambazo zitaweza kutumika kwa miaka 13 ijayo jijini Dodoma. Na Seleman Kodima. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira pamoja na wataalamu kutoka wizara…
5 April 2023, 5:57 pm
Serikali yatenga billioni 15 kwaajili ya kukamilishaji zahanati 300
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura alitaka kujua Je, nini mpango wa Serikali wa kumaliza ujenzi wa Zahanati kwa vijiji vilivyokamilisha ujenzi wa maboma. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema…