Brela
21 May 2024, 1:30 pm
Uhai wa viumbe hai unavyobebwa na uchavushaji
Na Mariam Kasawa.Kwa mujibu wa watafiti wanasema kuwa asilimia 80 ya uchavushaji unaonaofanywa na nyuki ni muhimu kwa viumbe hai kwani pasipo uchavushaji hakuna maisha. Mustakabali wa binadamu na mifumo ya ekolojia hutegemea uchavushaji takriban asilimia 80 ya spishi za…
18 May 2024, 6:53 pm
Ufahamu umuhimu wa Nyuki katika mazingira
Wananchi wanaaswa kuendelea kutunza mazingira pamoja na kujihusisha na ufugaji wa nyuki kwani ni fursa itakayo wakwamua kiuchumi. Na Mariam Kasawa.Nyuki anatajwa kuwa mdudu muhimu sana katika Afya na mazingira kwani viumbe hai wote wanategemea uchavushaji wa nyuki kujipatia chakula…
3 March 2023, 11:55 am
Elimu yasaidia kupunguza fedha haramu na ufadhili wa kigaidi
Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za kimataifa zimejitolea kuleta mabadiliko ya hali hiyo kwa kuanzisha dhana ya wamiliki manufaa. Na Fred Cheti. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni imesema utoaji wa elimu kwa Wamiliki manufaa umeleta…