Radio Tadio

Asanje

18 May 2022, 2:49 pm

Wakazi wa Asanje wamtaka mwenyekiti wa kijiji hicho ajiuzuru

Na; Selemani Kodima. Wananchi wa kijiji cha Asanje Wilayani Bahi  wamemtaka mwenyekiti wa Kijiji cha Asanje  Juma Dobogo kuachia nafasi yake kutokana kushindwa kuwatumikia na kusimamia Miradi ya kijiji . Wakizungumza kwa Nyakati Tofauti katika Mkutano wa Kijiji wananachi hao…