Radio Tadio

88

9 Januari 2026, 15:52

Kiteto tayari kwa bima ya afya kwa wote

Kikao hicho kimelenga kutoa elimu ya awali na kujenga uelewa kwa viongozi kuhusu mpango huo muhimu kwa ustawi wa wananchi. Na Kitana Hamis. Wilaya ya Kiteto imeonyesha utayari mkubwa katika utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote baada…