Kagera Community Radio
Kagera Community Radio
June 21, 2025, 2:34 pm
Viongozi mbalimbali wilayani Muleba mkoani Kagera wametakiwa kushirikiana ili kudhibti vitendo vya kikatili kwa watoto ambavyo vimekuwa vikipelekea baadhi yao kushindwa kufikia ndoto zao. Na. Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera Dkt. Abel Nyamahanga amewataka wadau wa…
June 14, 2025, 10:17 am
Wakulima wa mpunga skimu ya MWISA wilayani Karagwe mkoani Kagera wamepatiwa elimu juu ya kutumia kanuni bora za kilimo ikiwemo kupima afya ya udongo ili kuweza kunufaika na kilimo chao na kukuza uchumi wao. Na :Anold Deogratias Wakulima wilayani Karagwe…
June 14, 2025, 9:45 am
Wakazi mkoani Kagera wamesema wamekua wakiingiza kipato kinachowawezesha kujikimu kwa biashara ya wadudu aina ya senene Na. Elisa Kapaya Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara…
June 10, 2025, 3:10 pm
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera amewataka wakazi wilayani humo kudumisha usafi ikiwemo kuacha kutupa taka hovyo ili kuepusha magonjwa. Na. Elisa kapaya Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Bi.Zaitun Msofe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wilayani…
May 8, 2025, 1:03 pm
Na Mwandishi wetuMadaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Rais Samia wamehitimisha kambi ya utoaji huduma za kibingwa katika halmashauri zote nane (8) za mkoa wa Kagera ambapo wananchi wameomba utaratibu huo kurasimishwa ili waendelee kuwapunguziwa gharama za matibabu. Wakihojiwa na…
April 24, 2025, 10:10 am
Ukosefu wa taulo za kike kwa wanafunzi ni miongoni mwa sababu zinazowafanya wanafunzi kushindwa kuudhuria masomo katika kipindi cha hedhi Na Fabius Clavery Hedhi salama ni haki ya msingi kwa kila mwanafunzi wa kike. Kupitia elimu sahihi, upatikanaji wa vifaa…
April 23, 2025, 11:57 am
Baadhi ya wananchi wakipata elimu ya migogoro ya ardhi shambani. Ardhi inavyoweza kuwa chanzo cha kuondoa umaskini badala ya kusababisha migogoro katika jamii. Na Shemsa Musa Wananchi manispaa ya bukoba wametakiwa kujielimisha kwa lengo la kuwa na ufahamu juu ya…
April 23, 2025, 10:27 am
BUKOBA Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kutumia fursa ya madini mbali mbali yanayopatikana ktika maeneo ya kujiingizia kipato na kujikwamua na umasikini. Hayo yameelezwa na mtaalamu wa Jiorojia Bwana Rwegoshora George wakati akizungumza na kcr fm juu ya ni kwa namna…
April 23, 2025, 10:26 am
Wanajamii na watumishi washirikiane katika kutatua matatizo ya jamii Na Anold Deogratias. Watumishi wa uma ncini wametakiwa kuwajibika kwa mujibu wa mikataba na sharia za utumishi ili kutimiza malengo ya serikali ya kuwaletea wanachi maendeleo. Hayo yameelezwa na mratibu wa…
Kagera Community Radio as its name reflects, is a community radio station based in Kagera region’s capital town, Bukoba.
It operates under a parent non Governmental Organisation called KADETFU, an acronym of Kagera Development and Credit Revolving Fund.
Kagera Community Radio is a product of the UNDP commissioned survey entitled Mapping of Rural ICT adoption, Knowledge Management, Ecosystems and Livelihoods in the context of MDG Acceleration Framework (MAF) pilot projects in 2013.
During the particular survey, Radio and Mobile phones featured at top of all ICT channels for sharing information with rural communities
Radio was ranked as the most used tool followed by mobile phones, suggesting that any packaging of widespread and cost- effective communication or access to information with rural communities, should prioritize using these channels.
The survey findings paved way for KCR FM inception under the UNDP supported interventions namely:
The Pro-Poor Economic Growth And Environmentally Sustainable Development: Poverty And Environment Initiative (PEI) and Capacity Development for Results- Based Monitoring, Evaluation and Audit.
Our Radio Station’s official transmission commenced in May 2017, after complying with a multitude of requirements and clearance by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).
The Construction Permit was issued way back in 2013
