Kagera Community Radio
Kagera Community Radio
July 13, 2025, 2:40 pm
Wananchi mkoani Kagera wameshauriwa kujikita katika teknolojia mpya ya ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuzalisha samaki kwa wingi na kujipatia kipato. Na Anold Deogratias Mkuu wa mkoa wa Kagera Fatma Mwassa amewashauri wananchi mkoani Kagera kujikita katika…
July 11, 2025, 11:30 pm
Wanunuzi wa vyuma chakavu na mafundi bomba mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Bukoba (BUWASA) ili kuwabaini watu wanaoiba na kuharibu miundombinu ya maji. Na.Avitus Kyaruzi Mamlaka ya maji safi na usafi…
July 10, 2025, 3:21 pm
Wananchi mkoani Kagera wameshauri kugeukia kilimo cha parachichi hasi ili kukuza uchumi wao na mkoa wa Kagera kwa ujumla Na.Anold Deogratias Wananchi mkoani Kagera wameshauriwa kugeukia kilimo cha parachichi hasi ili kujiinua kiuchumi kupitia zao hilo kuliko kutegemea kilimo cha…
July 5, 2025, 1:15 pm
Picha ya kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Brasius Chatanda Polisi mkoani kagera wanawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na baadhi ya viungo vinavyosadikika kuwa vya binadamu Na Elisa Kapaya Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili…
July 2, 2025, 2:13 am
Halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imezindua zoezi la chanjo ya kuku, huku wataalam wa mifugo ngazi ya kata wakitakiwa kufanya kazi kwa uweledi na kwa muda uliopangwa. Na Anold Deogratias Wataalamu wa mifugo ngazi ya kata wataohusika katika…
June 30, 2025, 12:08 pm
picha ya zao la kahawa ambalo ni miongoni mwa mawazo ya biashara mkoani kagera Serikali imeombwa kuingilia kati ili kuona namna ya kuwasaidia wakulima ili kuondoa changamoto ya kahawa kutonunuliwa mnadani Na Elisa Kapaya MISSENYI. Serikali imeombwa kuingilia kati suala…
June 29, 2025, 10:16 am
Kampuni ya IFS imetekeleza agizo la mkuu wa mkoa wa Kagera Hajjati Fatma Mwassa la kuwalipa fedha zaidi ya shilingi milioni 20 wabeba mizigo katika bandari ya Bukoba, walizokuwa wanadai kwa kipindindi cha miezi miwili. Na Anold Deogratias Wabeba mizigo…
June 28, 2025, 5:04 pm
Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii wilayani Muleba mkoani Kagera wametakiwa kutumia ipasavyo baiskeli walizopatiwa kwa ajili ya kuwahudumia watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU). Na.Avitusi Kyaruzi Mkuu wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Dkt. Abel Nyamahanga amekabidhi…
June 23, 2025, 5:45 pm
Halmashauri ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera imesaini mkataba wa ujenzi wa soko la Bunazi katika kata ya Kassambya utakaogharimu shilingi billion 17.5, unaotarajiwa kukuza uchumi wa mwananchi mmojammoja na wilaya kwa ujumla. Na. Elisa Kapaya Wananchi wilayani Missenyi mkoani…
June 21, 2025, 5:12 pm
Waendesha pikipiki (maarufu bodaboda) wilayani Biharamulo mkoani Kagera wamesisitizwa juu ya kufuata sharia za usalama barabarani ikiwemo uvaaji wa kofia ngumu ili kulinda usalama wao na abilia na kuepukana na faini wawapo barabarani. Na.Anold Deogratias Waendesha pikipiki (maarufu bodaboda) wilayani…
Kagera Community Radio as its name reflects, is a community radio station based in Kagera region’s capital town, Bukoba.
It operates under a parent non Governmental Organisation called KADETFU, an acronym of Kagera Development and Credit Revolving Fund.
Kagera Community Radio is a product of the UNDP commissioned survey entitled Mapping of Rural ICT adoption, Knowledge Management, Ecosystems and Livelihoods in the context of MDG Acceleration Framework (MAF) pilot projects in 2013.
During the particular survey, Radio and Mobile phones featured at top of all ICT channels for sharing information with rural communities
Radio was ranked as the most used tool followed by mobile phones, suggesting that any packaging of widespread and cost- effective communication or access to information with rural communities, should prioritize using these channels.
The survey findings paved way for KCR FM inception under the UNDP supported interventions namely:
The Pro-Poor Economic Growth And Environmentally Sustainable Development: Poverty And Environment Initiative (PEI) and Capacity Development for Results- Based Monitoring, Evaluation and Audit.
Our Radio Station’s official transmission commenced in May 2017, after complying with a multitude of requirements and clearance by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).
The Construction Permit was issued way back in 2013
