Kagera Community Radio
Kagera Community Radio
August 19, 2025, 3:20 pm
Baadhi ya wananchi mkoani Kagera wameaswa kuachana na vitendo ya uchomaji hovyo mbuga na mistu ili kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Na Anold Deogratias Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kagera limetoa onyo kali…
August 17, 2025, 1:44 am
Viongozi na wananchi katika jamii wameaswa kutanguliza na kutenda haki kwanza ili kuweza kupata Amani na kuleta utulivu katika jamii hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Na Anold Deogratias Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage amesisitiza…
August 12, 2025, 11:05 pm
Watanzania wametakiwa kuwasikiliza kwa umakini na kupima uwezo wa wagombea pindi watakapoenda kuomba kura kwa wananchi ili kuhakikisha wanamchagua mtu sahihi wa kuwaletea maendeleo. Na Anold Deogratias Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amewataka Watanzania kuwapima…
August 7, 2025, 6:28 pm
Wakulima wa zao la kahawa mkoa wa Kagera wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu kuhusu namna kufanya kilimo bora cha kahawa ili kunufaika zaidi na zao hilo. Na Anold Deogratias Wakulima wa zao la kahawa mkoani Kagera wametakiwa kufuata kanuni za…
July 31, 2025, 6:00 pm
Serikali imeombwa kuufanya Mkoa wa Kagera kuwa Kanda Maalum ili kukabiliana na majanga ambayo yamekuwa yakiukumba mkoa huo mara kwa mara ikiwemo magonjwa na majanga ya asili. Na Anold Deogratias Mkuu wa wilaya ya Bukoba Erasto Sima ameiomba serikali kuutambua…
July 28, 2025, 11:36 pm
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Tunamkumbuka iliyopo kata ya Butelankuzi Halmashauri ya Bukoba, anatafutwa na jeshi la polisi baada ya kumbebesha mimba mwanafunzi wa shule hiyo aliyekuwa anasoma kidato cha nne. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Bukoba…
July 26, 2025, 3:55 pm
Waziri wa maji, Jumaa Aweso, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa Lwakajunju uliopo wilayani Karagwe, kutatua changamoto zinazowakabili vibarua wanaofanya kazi katika mradi huo ikiwemo malipo yao pamoja na kuwapa mikataba. Na Avitus Kyaruzi Waziri wa Maji, Jumaa Aweso,…
July 24, 2025, 11:46 pm
Kijiji cha Igurwa kilichopo kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera kimerejeshewa hekari 289 zilizokuwa limechukuliwa na mwananchi mmoja kwa njia isiyo halali. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Laizer ametatua mgogoro wa ardhi baina…
July 24, 2025, 9:25 pm
Miradi mikubwa minne inatarajiwa kujengwa katika manispaa ya Bukoaba mkoani Kagera kwa shilingi bilioni 40.2, hali itakayochochea ukuaji wa mji huo kutokana na uhitaji wa miradi hiyo kwa muda mrefu. Na Anold Deogratias Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera,…
July 16, 2025, 5:58 pm
Wahamiaji haramu 52 kutoka nchi ya Burundi wamekamatwa wilayani Ngara mkoani Kagera wakiwa wanasafirishwa kuelekea jijini Mwanza. Na Anold Deogratias Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Kagera wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 52 kutoka nchi ya…
Kagera Community Radio as its name reflects, is a community radio station based in Kagera region’s capital town, Bukoba.
It operates under a parent non Governmental Organisation called KADETFU, an acronym of Kagera Development and Credit Revolving Fund.
Kagera Community Radio is a product of the UNDP commissioned survey entitled Mapping of Rural ICT adoption, Knowledge Management, Ecosystems and Livelihoods in the context of MDG Acceleration Framework (MAF) pilot projects in 2013.
During the particular survey, Radio and Mobile phones featured at top of all ICT channels for sharing information with rural communities
Radio was ranked as the most used tool followed by mobile phones, suggesting that any packaging of widespread and cost- effective communication or access to information with rural communities, should prioritize using these channels.
The survey findings paved way for KCR FM inception under the UNDP supported interventions namely:
The Pro-Poor Economic Growth And Environmentally Sustainable Development: Poverty And Environment Initiative (PEI) and Capacity Development for Results- Based Monitoring, Evaluation and Audit.
Our Radio Station’s official transmission commenced in May 2017, after complying with a multitude of requirements and clearance by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).
The Construction Permit was issued way back in 2013
