Huheso FM

UKEKETAJI

April 12, 2021, 6:38 pm

Utamaduni wa ukeketaji wahatarisha maisha ya watoto wa kike Tarime.

Kituoa Cha ATFGM Masanga kilichopo wilayani Tarime Mkoani Mara kinasomesha zaidi ya watoto 100 katika shule mbalimbali waliokimbia kufanyiwa ukeketaji. Meneja Miradi wa ATFGM Masanga, Valerian Mgani amesema miongoni mwa watoto wanaowasomesha familia zao zimekataa kuwapokea kwa kukimbia kufanyiwa ukeketaji…