Huheso FM
UCHAGUZI
April 19, 2021, 3:02 pm
Wasimamizi uchaguzi mdogo watakiwa kuzingatia matakwa ya tume ya uchaguzi na maa…
Washiriki wa semina ya mafunzo ya uchaguzi mdogo katika halmashauri saba nchini wametakiwa kujitambua, kujiamini, kufuata na kuzingatia katiba ya nchi na maadili ya tume ya uchaguzi na sheria zake. Hayo yamesemwa na kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi…
March 28, 2021, 11:26 am
Nec yatangaza uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe Kigoma.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma baada ya kupokea Barua kutoka kwa Spika wa Bunge kuwa kiti hicho kiko wazi. Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya habari Jijini Dodoma…