Huheso FM
Mazingira
April 16, 2021, 3:26 pm
Wananchi wahofia Magonjwa ya mlipuko baada ya uchafu kukithiri mtaani.
Wananchi wa Mtaa wa Igembensabo Kata ya Malunga katika Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameitaka kampuni ya uzoaji wa uchafu majumbani kufuata ratiba ya kuondoa uchafu huo ili kuepusha magonjwa ya milipuko kwa kipindi hiki cha Mvua. Wito huo umetolewa…