Huheso FM

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

November 10, 2021, 8:10 pm

Wananchi wazungumzia uelewa wa magonjwa yasiyo ambukiza

Wananchi wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema magonjwa yasiyoambukizwa yamekuwa ni changamoto kutokana na maisha ya mazoea katika jamii. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema watu wengi wanaopata magonjwa yasiyoambukizwa hawatambui mapema kutokana na kutokuwa na tabia ya kupima afya…