Huheso FM
KAHAMA
March 30, 2021, 11:49 am
Mwalimu awalazimisha wanafunzi kuzoa kinyesi cha binadamu kwa mikono Kahama.
Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kayenze iliyopo kata ya Ukune halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga anadaiwa kutoa adhabu kwa wanafunzi wanne kuzoa kinyesi kwa kutumia mikono. Mwenyekiti wa kijiji cha Kayenze, Thomas Magandula amekiri kutokea kwa tukio…