Huheso FM
BAJETI
April 8, 2021, 3:21 pm
Manispaa ya Kahama yapanga bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022
Halmashauri ya Manisapaa ya Kahama mkoani Shinyanga inatarajiwa kutenga bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022 jumla shilingi milioni 900 hadi Billioni moja kwa ajili ya vikundi vya maendeleo kwa akina mama vijana na watu wenye ulemavu. Hayo yamesemwa na mkuu…