Dodoma FM

Nishati

11 April 2024, 5:18 pm

Idifu waomba kusambaziwa huduma ya umeme

Tangu REA kusimika nguzo za umeme kwa kufuata muelekeo wa barabara imesababisha baadhi ya maeneo mengi kushindwa kufikiwa na huduma hiyo. Na Victor Chigwada.Uongozi wa serikali ya kata ya Idifu wilayani Chamwino umeiomba serikali kuwasambazia huduma ya umeme katika maeneo…

17 December 2021, 3:05 pm

Tanzania yatakiwa kuwa na sera madhubutu ya nishati jadidifu

Na ;Mindi Joseph. Jukwaa la wadau wa nishati endelevu limesema Tanzania inahitaji sera madhubutu ya nishati jadidifu nyenye nyezo za utekelezaji katika mageuzi ya matumizi ya nishati na kuongeza usalama na upatikanaji wa nishati Nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa TaTEDO Eng.…

4 October 2021, 2:34 pm

Umeme waathiri upatikanaji wa maji Membe.

Na; Benard Filbert. Kuchelewa kuwashwa kwa nishati ya umeme wa tanesco katika kata ya Membe wilayani Chamwino imetajwa kuathiri upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata hiyo. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Membe bwana Simon Macheo…

26 August 2021, 1:44 pm

Mradi wa kufua umeme Zuzu watajwa kufikia asilimia 98.

Na;Mindi Joseph . Mradi wa kituo cha kufua umeme Zuzu umetajwa kufikia asilimia 98 huku ukitarajiwa kufunguliwa Rasmi Septemba 30 mwaka huu. Mradi huo utakuwa na uwezo wa kusambaza umeme ndani ya Nchi pamoja na Nchi jirani.Katika Mkoa wa Dodoma…

19 August 2021, 1:31 pm

Wakazi wa Kawawa waiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Kawawa Kata ya Msanga Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwasaidia kufikisha huduma ya umeme katika Kijiji hicho ili wananchi waweze kwenda na wakati. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema…

13 July 2021, 1:20 pm

Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…