Michezo
13 July 2024, 13:58
Kwaya kuu Ushirika wa Msia Mbozi watembelea Baraka FM Mbeya
Kutembelewa ni jambo la heri na hii ni ishara kwamba unapendwa, hii ndio maana halisi ya kile kinachokuwa kimefanyika kwa mgeni yoyote anayefika katika malango yako. Na Hobokela Lwinga Mapema leo kituo cha matangazo cha redio Baraka kimepokea ugeni wa…
13 July 2024, 12:38 pm
Kata ya Ihanamilo yakabiliwa na uhaba wa maji
Licha ya serikali kufanya jitihada za ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule zilizopo kata ya Ihanamilo, eneo hilo linakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji. Na: Edga Rwenduru – Geita Changamoto ya uhaba wa maji katika kata ya Ihanamilo…
13 July 2024, 10:57
Ofisi za utawala kanisa la Moravian wilaya ya Chunya kuzinduliwa
Kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu wa mgawanyo wa utawala katika kuwafikisha waumini wake karibu kwenye maeneo mbalimbali hali hiyo inafanya wilaya zake kumiliki ofisi ambazo asilimia kubwa zinajengwa na waumini. Na Ezekiel Kamanga Askofu Robert Pangani wa Kanisa la…
12 July 2024, 12:33 pm
Ufaulu wapaa baada ya shule kupata umeme
Picha joyce Elias Na Isack Dickson. Mkuu wa shule ya Sekondari Terrat Julius Maplani amesema kuwa ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha Nne umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka mara baada ya kuwepo kwa umeme wa uhakika. Mwalimu Maplani amesema hayo…
12 July 2024, 11:51 am
Namna Umeme unavyochangia maendeleo Kata ya Terrat,Simanjiro
picha msaada wa mtandao Na Isack Dickson. Kwa mujibu wa REA hadi January 2024, usambazaji wa umeme vijijini umefikia asilimia 80 tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili mwezi Julai 2018 Na, kuna vijiji…
11 July 2024, 12:54
Hii hapa ahadi ya Bashungwa kwa makamu wa rais Dr Mpango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Philip Isdor Mpango amemtaka waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa kuhakikisha upanuzi wa uwanja wa ndege unakamilika haraka ifikapo 2025. Na Josephine KiravuMakamu wa Rais amesema hayo wakati akifanya ukaguzi…
10 July 2024, 16:00
Dkt. Mpango amkalia kooni mkandarasi anayejenga barabara ya Buhigwe -Kasulu
Wizara ya ujenzi kupitia kwa waziri wake Innocent Bashungwa ametakiwa kuhakikisha kumsimamia mkandarasi anajenga barabara ya Buhigwe hdi Kasulu ili iweze kukamilika kwa wakati. Na Josephine Kiravu – Buhigwe Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amemtaka Mkandarasi anayejenga…
10 July 2024, 3:37 pm
Wananchi tafuteni hatimiliki za ardhi kupunguza migogoro
Na Isack Dickson. Wananchi wa kijiji cha Terrat na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuhakikisha wanamiliki hati miliki za ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi katika jamii. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Terrat Ndg Kone P Medukenya katika mahojiano…
10 July 2024, 3:27 pm
Migogoro ya ardhi ilivyomnyima kufanya maendeleo
Na Baraka David Ole Maika. Lucas ni mkaazi wa wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha familia yake imekuwa na mgogoro wa ardhi ambao umesababisha kushindwa kufanya maendeleo yoyote katika Ardhi wanayo miliki. Mwanahabari wetu Baraka David Ole Maika amefunga Safari…
10 July 2024, 9:49 am
Wakazi wa Narusunguti walia na ukosefu wa maji safi na salama
Licha ya mikakati ya serikali kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kila kijiji, bado hali tete kwa wakazi wa kijiji cha Narusunguti wilayani Bukombe mkoani Geita wakiwa na changamoto hiyo tangu mwaka 2002. Na: Evance Mlyakado – Geita Wananchi…