Radio Tadio

Michezo

18 December 2024, 12:24 pm

Wezi waiba kwenye maduka zaidi ya 11 Bunda

“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida  wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…

12 December 2024, 09:32

Askofu Mwakijambile azikwa kijijini Isaki Kyela

Dunia ni njia ya kupita wengi lakini katika upitaji wa dunia hakuna ambaye anajua siku ya kumaliza safari yake duniani hivyo tuishi maisha ya uchaji kwa Mungu. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu viongozi wao wa…

12 December 2024, 09:21

EWURA yaonya uuzaji holela wa mafuta Kigoma

Meneja wa mamlaka ya udhibiti wa nishati na majiĀ  EWURA Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher amewataka wadau wa masuala ya uuzaji wa mafuta kutumia fursa ya kuwekeza katika maeneo ya vijijini ambako kuna uhaba mkubwa wa vituo vya mafuta.…

10 December 2024, 12:31 pm

Wanaume Iringa walalamikia kupigwa na wake, kuwekewa limbwata

Na Mwandishi wetu Wanaume kutoka Kijiji cha Igangidung’u Kata ya Kihanga wilayani Iringa wameeleza namna ambavyo wanafanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwa kupewa dawa za kuwapumbaza akili zikifahamika kwa jina la ‘limbwata’ sambamba na kukutana na vipigo kutoka kwa wake zao.…

3 December 2024, 11:22

Baiskeli 27 zagawiwa kwa wakulima wawezeshaji wa zao la pamba

Mkuu wa Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema serikali itaendelea kuwasaidia wakulima kwa kuwawezesha nyenzo mbalimbali zitakazowawezesha kulima kilimo chenye tija. Na Michael Mpunije – Kasulu Halmshauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekabidhi baiskeli 27 kwa wakulima…