Bunda FM Radio
Bunda FM Radio
May 21, 2025, 11:20 am
”Siasa ni maisha lazima tuchague viongozi wanaokuwa karibu na wananchi na wanaojuwa maisha ya wananchi wanaowaongoza”, maoni ya mwananchi wilayani Bunda. Na Amos Marwa Wananchi Wilayani Bunda wamesema kueelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu wamejipanga kuchagua Viongozi waadilifu, wasio…
April 30, 2025, 1:34 pm
‘‘Naomba mahakama itoe adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwefundisho kwa jamii kuacha tabia ya ukatili dhidi ya watoto’’. Aristariko Msongelo mwendesha mashitaka wa Jamhuri Wilaya ya Bunda. Na Adolf Mwolo Mahakama wilayani Bunda imemhukumu kifungo cha miezi 6 cha nje…
April 29, 2025, 12:22 pm
”Tumepokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa NIDA, James Kaji, kufikia mei mosi 2025 kuwa wananchi wote waliotumiwa ujumbe mfupi wa sms kujulishwa upatikanaji wa vitambulisho vyao lakini hawajajitokeza kuchukua vitasitishwa” Hilkia Nyamongo,kaimu Afisa usajili NIDA Wilaya ya Bunda. Na…
April 24, 2025, 10:21 am
”nawahakikishia wanachi wilayani Bunda kuwa bei za bidhaa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka hazitopanda” Khalid Ally mwenyekiti soko kuu Bunda Na Amos Marwa
April 23, 2025, 2:49 pm
Wafanyabiashara wengi wilayani Bunda kupata fursa ya kuongeza vipato vyao kwa kuongezwa ukubwa wa soko Na Adolf Mwolo Zaidi ya shilingi milioni 900 zinatarajiwa kutumika kukarabati soko la Manjebe lililoko kata ya Nyasura wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza na…
April 23, 2025, 10:28 am
Wakulima wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima afya ya udongo kabla msimu wa kilimo kuanza Na.Revocutus Andrew Wakulima nchini wametakiwa kupima afya ya udongo pamoja na kulima kilimo asilia. Hayo yamezungumzwa Leo na Bensoni Mturi afisa Teknolonjia za kilimo kutoka…
SLOGAN: Our station has decided to use ‘‘NGURUMO YA JAMII’’ or a ‘‘COMMUNITY’S ROAR’’ which
symbolise that the station is not for individual but for all people to express their socio-economic
issues which they normally encounter when fulfilling their day to day livelihood through our
structured programs.
OURPOLICY: Fairness, Professionalism, and Accuracy. This enables the staff to carry out their duties and
reporting in fairness to all issues of public concern with accuracy based on professional ways of
journalism.
GEOGRAPHICALAREA: Bunda FM 92.1 Ngurumo ya jamii is specifically situated at Bunda district in Mara region in the western part of Lake Victoria.
Bunda FM is operating its programs 24hours/7days and our day start 5.00 am and ends at 5.00 am in
the next day.
Dissemination of educative programs through provision of accuracy flow of information,
timely with fairness.
Filling the gap of development programs by producing informative and entertainment
programs.
Broadcasting programs based on social, economic, cultural, political, religious, entertainment,
current affairs, cross-cutting issues and all issues affecting the targeted community livelihood.
CONTACT US:
Bunda FMLTD, 92.1MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
Website:
www.bundafm.co.tz
PNONENO: +255 754279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216