Bunda FM Radio
Bunda FM Radio
July 28, 2025, 7:30 pm
”Wananchi mnapaswa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kutangaza biashara zenu na siyo kupoteza muda kwa kuangalia habari za udaku muda wote’’ Bernadetha Clement Mathayo Afisa Mawasiliano TCRA kanda ya ziwa. Na Revocutus Andrew Wananchi Kanda ya Ziwa wameaswa…
July 26, 2025, 10:13 am
“Mkatumie mikopo hii kwa lengo lilopangwa ili muweze kurejesha kwa wakati ili vikundi vingine vikanufaike na mikopo hii hatutegemie kuwaona katika kumbi za staarehe kama baa mkinywa bia kutumia fedhaa hizi za mikopo” Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salmu Alfan…
July 25, 2025, 3:08 pm
”Jumapili tarehe 27/7/2025 kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana wateja na wananchi wote katika mikoa ya Mwanza na Mara watashuhudia tukio la kukosekana kwa umeme hadi katika ofisi za Tanesco kwa sababu kituo kikuu kinachopokea umeme kanda ya…
June 26, 2025, 12:55 pm
Viongozi wa jukwaa la Wakulima Bunda. Picha na Revocatus Endrew “Tusikae na kujadili na kuishia kwenye vikao maana itakuwa ni kama hadithi tu inabinidi tunde kwa wakulima na kuwashawishi wa kulima kwa ajili ya kilomo chenye tija”. Mwenyekiti wa jukwaa…
June 20, 2025, 6:12 pm
“Vijiji vyote vilivyopitiwa na mradi wa maji ikiwemo Bisarye, Nyamswa,Ikizu na Bukama vinufaike na mradi ili kupunguza uharibifu kwa miundombinu ya maji kwa vijiji ambavyo sio wanufaika” Joshua Mirumbe Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Wilaya ya Bunda Na Amos Marwa…
June 14, 2025, 10:11 am
”Upandaji miti ni njia mojawapo ya utunzaji wa mazingira,kupata kivuri na upatikanaji wa matunda ya kutosha katika jamii yetu” Tegemeo Masiti mhifadhi misitu Wilaya ya Bunda. Na Witness Joseph Akizungumza na Bunda Fm Radio kwenye kipindi cha ukurasa mpya mhifadhi…
June 11, 2025, 10:52 am
“Hakuna sehemu ambayo miradi haijakamilika kwa kipindi cha miaka mitano miradi ya hospitali tumepeleka fedha na mitaa yote mitano iliyopo ndani ya kata ya Bunda stoo tumepeleka maji ” Flaviani Chacha Nyamigeko Diwani kata ya Bunda stoo. Na Amos Marwa…
June 7, 2025, 10:32 am
“Mkacheze kufa ama kupona ili muweze kufuzu kwenda ligi kuu ya wanawake kwasababu mnawakilisha wilaya ya Bunda na Mkoa wa mara kwaujumla” Mkuu wa Wilaya ya Bunda Aswege Enock Kaminyoge Na Amos Marwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Aswege Enock…
May 28, 2025, 1:26 pm
Wakazi wa Mtaa wa Kilimani Halmashauri ya wilaya ya Bunda wameomba Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), kutengeneza daraja la barabara ya kilimani karibu na stendi mpya liloharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni. Wakizungumza na Bunda FM Radio…
May 21, 2025, 11:50 am
”Madiwani shirikianeni na watendaji wa mitaa pamoja na wazazi ili kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha mchana kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari”, Salum K. Mtelela katibu tawala Wilaya ya Bunda. Na Amos Marwa Katibu tawala wa…
SLOGAN: Our station has decided to use ‘‘NGURUMO YA JAMII’’ or a ‘‘COMMUNITY’S ROAR’’ which
symbolise that the station is not for individual but for all people to express their socio-economic
issues which they normally encounter when fulfilling their day to day livelihood through our
structured programs.
OURPOLICY: Fairness, Professionalism, and Accuracy. This enables the staff to carry out their duties and
reporting in fairness to all issues of public concern with accuracy based on professional ways of
journalism.
GEOGRAPHICALAREA: Bunda FM 92.1 Ngurumo ya jamii is specifically situated at Bunda district in Mara region in the western part of Lake Victoria.
Bunda FM is operating its programs 24hours/7days and our day start 5.00 am and ends at 5.00 am in
the next day.
Dissemination of educative programs through provision of accuracy flow of information,
timely with fairness.
Filling the gap of development programs by producing informative and entertainment
programs.
Broadcasting programs based on social, economic, cultural, political, religious, entertainment,
current affairs, cross-cutting issues and all issues affecting the targeted community livelihood.
CONTACT US:
Bunda FMLTD, 92.1MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
Website:
www.bundafm.co.tz
PNONENO: +255 754279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216