Bunda FM Radio
Bunda FM Radio
September 11, 2025, 9:01 pm
“Kila mwana Mara anawajibu wa kutunza bonde la Mto Mara na hifadhi nyingine kwa ajili ya maendeleo yetu na vizazi vijavyo ‘’ Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi. Na Amos Marwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evance…
August 28, 2025, 5:00 pm
”Vijana tunaweza kuleta mabadiliko makubwa kupitia siasa nakusihi kijana mwenzangu usiogope usikate tamaa siasa sio lazima uwe na pesa kama wengi mnavodhani ni kujitoa na kujiamini” Lucas Daniel Marco maarufu kama Three Boys, kijana mwanasiasa na mgombea udiwani kata ya…
August 20, 2025, 7:52 pm
Maringo Ndolela aliekaa kulia na Felix Lukonge Sola wawakilishi wa koo za kabila la wajita wakizungumza na Bunda FM kwenye kipindi cha Busati la Habari kinachoruka Jumatatu hadi Ijumaa. Picha na Amos Marwa ”Nawakaribisha Wajita wote na makabila mengine kutoka mkoa…
August 13, 2025, 6:04 pm
”Tukumbuke kuwa mwenge wa uhuru huleta tumaini pasipo tumaini, upendo palipo na chuki ”Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi. Na Amos Marwa MKuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amewataka wananchi na wadau wote kujitokeza kwa…
August 10, 2025, 8:22 pm
“Mimi Janeth naamini katika kutoa katika mizunguko yangu yote naamini ukimtolea Bwana unabarikiwa zaidi tujifunze kutoa kwa moyo tuone baraka za Bwana zinavomiminika”Mkurugenzi wa kampuni ya Janeth Moters Janeth Webiro Na Amos Marwa Kampuni ya Janeth Motors limited inayojishughulisha na…
August 8, 2025, 8:12 pm
”Chama cha NLD ni chama kikongwe hakuna mtu asiyekifahamu tumeteua Wagombea wa udiwani katika kata zote 13 za Mji wa Bunda” Tosile Habiya katibu chama cha NLD mkoa wa Mara Na Amos Marwa Katibu wa chama cha National league for…
August 7, 2025, 7:19 pm
‘‘Mtoto anatakiwa kujisikia huru na salama wakati wa unyonyeshaji kwa kupewa ushirikiano na sio mama unanyonyesha huku unachati mtandaoni unasahau zoezi la kumnyonyesha Mtoto” Grace martin Afisa lishe mkoa wa Mara Na Amos Marwa Jamii mkoa wa Mara imeaswa kutengeneza…
July 28, 2025, 7:30 pm
”Wananchi mnapaswa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kutangaza biashara zenu na siyo kupoteza muda kwa kuangalia habari za udaku muda wote’’ Bernadetha Clement Mathayo Afisa Mawasiliano TCRA kanda ya ziwa. Na Revocutus Andrew Wananchi Kanda ya Ziwa wameaswa…
July 26, 2025, 10:13 am
“Mkatumie mikopo hii kwa lengo lilopangwa ili muweze kurejesha kwa wakati ili vikundi vingine vikanufaike na mikopo hii hatutegemie kuwaona katika kumbi za staarehe kama baa mkinywa bia kutumia fedhaa hizi za mikopo” Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salmu Alfan…
July 25, 2025, 3:08 pm
”Jumapili tarehe 27/7/2025 kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana wateja na wananchi wote katika mikoa ya Mwanza na Mara watashuhudia tukio la kukosekana kwa umeme hadi katika ofisi za Tanesco kwa sababu kituo kikuu kinachopokea umeme kanda ya…
SLOGAN: Our station has decided to use ‘‘NGURUMO YA JAMII’’ or a ‘‘COMMUNITY’S ROAR’’ which
symbolise that the station is not for individual but for all people to express their socio-economic
issues which they normally encounter when fulfilling their day to day livelihood through our
structured programs.
OURPOLICY: Fairness, Professionalism, and Accuracy. This enables the staff to carry out their duties and
reporting in fairness to all issues of public concern with accuracy based on professional ways of
journalism.
GEOGRAPHICALAREA: Bunda FM 92.1 Ngurumo ya jamii is specifically situated at Bunda district in Mara region in the western part of Lake Victoria.
Bunda FM is operating its programs 24hours/7days and our day start 5.00 am and ends at 5.00 am in
the next day.
Dissemination of educative programs through provision of accuracy flow of information,
timely with fairness.
Filling the gap of development programs by producing informative and entertainment
programs.
Broadcasting programs based on social, economic, cultural, political, religious, entertainment,
current affairs, cross-cutting issues and all issues affecting the targeted community livelihood.
CONTACT US:
Bunda FMLTD, 92.1MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
Website:
www.bundafm.co.tz
PNONENO: +255 754279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216