Recent posts
February 12, 2026, 8:14 pm
Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti shuleni
‘Tunapaswa kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanaenda shule madiwani waote na wakuu wa idara ya elimu mkasimamie hilo na kuzingatia chakula kinapatikana shuleni Kwa ajili ya lishe Kwa wanafunzi” Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salmu Alfan Mtelela Na Amos Marwa…
January 13, 2026, 7:30 pm
Walimu pokeeni wanafunzi bila masharti yoyote
”Hata kama mwanafunzi hajakamilisha mahitaji yake ya shule kama vile sare za shule apokelewe asajiliwe na aendelee na masomo mwalimu mkuu atake mzuia mwanafunzi atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kupokonywa ukuu wa shule” Mkuu wa wilaya ya Bunda Aswege Enock…
January 11, 2026, 7:52 pm
Bunda watoa maoni kwa tume ya vurugu baada ya uchaguzi
“Nadhani uongozi wa juu ndani ya vyama vya kisiasa ulichongia hasira Kwa vijana sisi tunajuana tunapomchagua mtu flani majina yakienda katika ngazi ya juu na huyo mtu jina lake kukatwa maanaake wanatuletea mtu wanao mtaka wao na sio maoni ya…
January 7, 2026, 7:44 pm
Serikali yajipanga kupunguza upotevu wa maji Bunda
”Kuna sababu nyingi za upotevu wa maji ikiwemo miundombinu kuwa chakavu, uchepushaji wa maji mita zinazotumika kwa sasa na matumizi yasiyozingatia mahitaji halisi” Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Andrea Mathew Na Amos Marwa Serikali imejipanga kupunguza tatizo la upotevu…
December 8, 2025, 5:33 pm
Wananchi Bunda wahakikishiwa usalama Disemba 9
Na Amos Marwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Aswege Enock Kaminyoge, amewahakikishia wananchi usalama na kuwataka kwendelea na shughuli zao za kila siku kesho disemba 9 Kaminyoge ameyasema hayo baada ya mazungumzo…
December 6, 2025, 9:47 am
Jamii yaaswa kuzingatia lishe kwa watoto
”Wazazi wapaswa kuzingatia makundi yote ya ya vyakula wakati wa kumwandalia mtoto unga lishe unakuta mzazi ameandaa mahindi, mchele, ulezi, na ngano bila kujua kuwa hicho alichokiandaa ni kundi moja la chakula ambalo ni wanga” Afisa lishe Halmashauri ya mji…
December 4, 2025, 10:12 am
Minza achaguliwa mwenyekiti baraza la madiwani Bunda Mji
”Wananchi wamepunguza imani kwa serikali hivyo madiwani wenzangu twendeni tukachape kazi ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao iliyopo madarakani” Diwani wa kata ya Mcharo na mwenyekiti wa baraza la madiwani Bunda mji Masalo Minza Shani Na Amos Marwa…
November 28, 2025, 7:38 pm
Mitaji changamoto kwa vyama vya ushirika na mikopo(SACCOS)
”Nashauri kamati ya mikopo kujua historia za wakopaji hasa kwa wakopaji wageni ili kuepuka wakopaji kutokomea na fedha za chama”Shukrani Modest Mihungo Afisa ushrika Bunda mji Na Amos Marwa Wanachama wa chama cha ushirika wa akiba na mikopo cha Kibara…
November 21, 2025, 10:21 am
TMDA yaonya matumizi holela ya dawa
Frank Gasper Mhina afisa kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba kanda ya ziwa (TMDA) akitoa elimu juu ya visababishi na athari za usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa linalofahamika kama UVIDA. kwa wanafunzi wa chuo cha uwalimu…
November 13, 2025, 5:33 pm
Wakulima Mara kunufaika na mbegu za ruzuku
”Nawaomba wakulima wote kujiunga kwenye mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) ili waweze kuwa na sifa za kukopeshwa pembejeo za kilimo” Benard Mathew afisa kilimo kata ya Bunda stoo Na Amos Marwa Wakulima wadogowagogo mkoa wa Mara wamehakikishiwa fursa…