Storm FM

Siasa

24 June 2024, 7:34 am

CCM yaagiza viongozi wazembe washughulikiwe Geita

Viongozi wazembe wanaokwamisha miradi na wenye dharau wamekalia kuti kavu mkoani Geita baada ya katibu wa NEC kuagiza wasakwe na wachukuliwe hatua. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Organization na mlezi wa CCM Mkoa wa Geita Issa Haji Ussi GAVU…

26 May 2024, 4:42 pm

Waziri Mkuu kutua Geita mwezi Juni

Ili kuongeza ufanisi na wigo katika ukusanyaji wa mapato serikali imeendelea kuanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kutengeneza walipa kodi wapya kupitia vituo hivyo. Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa anatarajia…

20 January 2024, 9:48 am

Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…

3 January 2024, 10:27 am

Zaidi ya vijiji 5 maji ni changamoto Geita

Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…

2 November 2023, 5:42 pm

Shida ya maji, fisi vyawatesa wakazi kijiji cha Lubando

Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama, tishio la fisi vijijini katika wilaya ya Nyang’hwale umeendelea kuwapa changamoto wananchi wanaoishi maeneo hayo ambao huchangia maji na mifugo huku wakitembea umbali wa kilomita 20 kufuata maji. Na Mrisho Sadick –…

28 August 2023, 1:52 pm

Busanda waomba vituo vya kuchotea maji viongezwe

Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini RUWASA imeendelea kusogeza huduma hiyo hadi maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya maji safi. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Busanda wilayani Geita wameiomba serikali…