Recent posts
March 19, 2026, 10:53 am
Takukuru Manyara wagusa maisha ya wenye uhitaji
Mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU Mkoa wa Manyara imefuturisha watoto wenye uhitaji pamoja na wadau mbalimbali. Na Linda Moseka Mkuu wa Wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda ametoa pongezi kwa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa…
March 11, 2026, 9:29 am
‘Wakulima zingatieni ushauri’
Wakati mkoa wa Manyara ukiwa katika kipindi cha masikia, wakulima wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo Na Kudra Massaga Wakulima wilaya ya Babati Mkoani Manyara wametakiwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalam wa kilimo pamoja na mamlaka ya hali ya…
March 6, 2026, 1:46 pm
Kuelekea siku ya wanawake Manyara
Wanawake wametakiwa kutokutumia 50 kwa 50 vibaya kwa kutokutimiza majukumi yao Na Kudra Massaga Kuelekea siku ya wanawake duniani machi 08 , wanawake Mkoa wa Manyara wametakiwa kulea familia zao ili kujenga mahusiano mazuri katika ngazi za familia na jamii…
March 5, 2026, 1:45 pm
Watakiwa kuwalinda na kuwahifadhi wanyama
Ikiwa tarehe 03 machi ilikuwa ni siku ya wanyamapori duniani wananchi wamekumbushwa kuwalinda wanyama Na Kudra Massaga Wananchi wametakiwa kusaidiana na wahifadhi wa wanyamapori katika kuwatunza na kuwahifadhi wanyama ili wazidi kuendelea kuwepo kwa kizazi cha sasa na cha baadae…
March 2, 2026, 8:36 am
Wezi, wavivu kukiona
Amewataka watumishi wa serikali kutimiza majukumu yao alipokuwa wilaya ya Babati Mkoani Manyara Na Mbaraka Sungi Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa hatosita kuwa mkali na kuchukua hatua kali dhidi ya wezi, wavivu na wale wanaodhulumu watanzania…
February 5, 2026, 12:39 pm
Benki ya NMB yatoa msaada taasisi za elimu na afya
Picha ya meneja wa Benki ya NMB Baraka Ladislaus Katika kuchangia wanafunzi kupata elimu bora na huduma bora za afya Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika zahanati na shule za msingi halmashauri ya Babati Mkoani Manyara Na…
October 29, 2025, 12:35 pm
Manyara hali ni shwari zoezi la upigaji kura
Picha ya mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga akiwa tayari amepiga kura Wananchi wilaya ya Babati wamejitokeza katika vituo vyao walivyojiandikishia kwa ajili ya zoezi la kupiga kura Na Linda Moseka Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga mapema…
October 28, 2025, 2:17 pm
80,910 kupiga kura jimbo la babati mjini
Picha ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati Mjini Simon Mumbee Wananch wametakiwa kufanya uhakiki mapema wa majina kwenye vitio walivyojiandikishia kabla ya kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura tarehe 29 oktoba 2025 Na Kudra Massaga Jumla ya wapiga kura…
October 27, 2025, 2:43 pm
JMAT mkoa wa Manyara wamekutana kuombea Taifa
Picha ya viongozi wa jumuiya ya maridhiano na amani mkoa wa Manyara wakiwa kwenye maombi maalim ya kuliombea Taifa kuelekea uchaguzi mkuu Kumefanyika mkutano wa kuliombea Taifa la Tanzania ili amani izidi kudumu hasa kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi…
October 21, 2025, 2:39 pm
Vitambulisho mbadala kwa waliopoteza vitambulisho vya kura kutumika
Picha ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Babati Simon Mumbee Vitambulisho vyenye taarifa sahihi na zilizokuwepo kwenye kitambulisho cha kupigia kura vitatumika kwa wale waliopoteza Na Kudra Massaga Msimamizi ya Uchaguzi Jimbo Babati Mjini Simon Mumbee amesema wananchi wote waliojiandikisha…