Recent posts
8 October 2026, 1:41 pm
Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa Manyara
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela akizungumza na Wafanyabiashara, (picha na Amedius Mushi.) Baraza la Wafanyabiashara ni jukwaa muhimu linalowakutanisha wafanyabiashara wa sekta binafsi na serikali kwa lengo la kujadili na kutatua changamoto zinazoikabili. Na Katomali Nchimbi…
8 October 2026, 1:12 pm
Kundo awasili Manyara kikazi…
Pichani ni Martin Shigela,Bi Maryamu Muhongo,na Mhandisi Mathew Kundo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara,(picha na Amedius Mushi.) Wizara ya Maji haitaanzisha miradi mipya kwa sasa ili kuepusha hasara zinazoweza kujitokeza endapo mvua kubwa zitanyesha. Na Katomali Nchimbi…
26 September 2026, 2:09 pm
Tanesco Manyara yatoa elimu kwa umma kuelekea El Nino
Wananchi wametakiwa kuwa waangalizi wa miundombinu ya shirika la umeme Tanzania Tanesco hasa kipindi hiki cha kilimo. Na Katomali Nchimbi Shirika la umeme Tanzania Tanesco kupitia ofisi za mkoa wa Manyara Wilaya ya Babati mjini limetoa elimu ya usalama kwa…
24 September 2026, 2:41 pm
Shigela atembelea Mbulu
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela, picha na Katomali Nchimbi Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela amefanya Ziara Wilaya ya Mbulu Septemba 24/2026 na kutembelea Maeneo hatarishi yanayoweza kuathiri Miundombinu Muhimu ya Mawasiliano,kutokana na Mvua zinazotarajiwa…
19 September 2026, 4:24 pm
Manyara watahadharishwa na El Nino
Kuanza kuchukua Tahadhari Mapema ili kuepuka Madhara Na Katomali Nchimbi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela, ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa kutembelea na kukagua maeneo mbalimbali yanayoweza kuathiriwa na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kunyesha katika maeneo…
15 September 2026, 3:21 pm
Wazazi, walezi wapewa ushauri
Picha ya Studio ya Smile FM. Picha na Katomali Nchimbi Wazazi na Walezi kuwapatia Lishe bora ili kuwalinda na Magonjwa Nyemelezi ya Kudumaza Afya zao kwa kukosa lishe bora,na kutunza Mazingira ikiwemo kusafisha Vichaka na kuchoma moto, kuyaweka Mazingira Safi…
14 September 2026, 12:36 pm
TPDC yaeleza neema ya bomba la mafuta, gesi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekutana na waandishi wa habari Mkoa wa Manyara katika mafunzo ya siku moja yaliyofanyika mjini Babati, Septemba 10, 2026, kwa lengo la kutoa elimu kuhusu shughuli za mafuta na gesi nchini. Na Katomali…
19 March 2026, 10:53 am
Takukuru Manyara wagusa maisha ya wenye uhitaji
Mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU Mkoa wa Manyara imefuturisha watoto wenye uhitaji pamoja na wadau mbalimbali. Na Linda Moseka Mkuu wa Wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda ametoa pongezi kwa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa…
11 March 2026, 9:29 am
‘Wakulima zingatieni ushauri’
Wakati mkoa wa Manyara ukiwa katika kipindi cha masikia, wakulima wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo Na Kudra Massaga Wakulima wilaya ya Babati Mkoani Manyara wametakiwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalam wa kilimo pamoja na mamlaka ya hali ya…
6 March 2026, 1:46 pm
Kuelekea siku ya wanawake Manyara
Wanawake wametakiwa kutokutumia 50 kwa 50 vibaya kwa kutokutimiza majukumi yao Na Kudra Massaga Kuelekea siku ya wanawake duniani machi 08 , wanawake Mkoa wa Manyara wametakiwa kulea familia zao ili kujenga mahusiano mazuri katika ngazi za familia na jamii…