Pangani FM

HABARI

29 March 2022, 6:04 pm

DRC kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Hatimaye miezi mitatu baada ya Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki kuridhia ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na jumuiya hiyo, baada ya kujiridhisha na kuona zipo faida za moja kwa moja…

10 May 2021, 7:14 pm

ANGALIZO la upepo mkali maeneo ya ukanda wa Pwani

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwasaa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2.0limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwaniya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga,Dar es Salaam…

6 April 2021, 7:33 pm

Pumzika kwa amani JPM tunaonana baadaye.

Leo Aprili 6 ndio tamati ya siku 21 za maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli. sikiliza hapa chini ujumbe maalum wa Pangani FM katika kutamatisha maombolezo ya msiba…

30 March 2021, 6:41 pm

Mpango kuapishwa kesho

Makamu wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango kesho tarehe 31 Machi, 2021 ataapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla ya kuapishwa kwa Dkt. Mpango itafanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma…

19 March 2021, 11:42 am

Historia mpya.

Leo, Machi 19, 2021 saa nne asubuhi aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma, Ikulu mkoani Dar es Salaam kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Historia Mpya:…

19 March 2021, 10:52 am

Wasifu wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan

Mama Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27 mwaka 1960 huko visiwani Zanzibar. Alipata elimu ya msingi katika shule za msingi za Chawaka huko Unguja, Ziwani huko Pemba na Mahonda iliyopo Unguja  kati ya mwaka  1966 na 1972. Alisoma katika shule ya Sekondari  Ngambo iliyopo Unguja…

6 March 2021, 9:26 pm

Unafanya Kilimo?Unategemea Kilimo? Sikiliza hapa.

Upo umuhimu mkubwa wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa  kwa ajili ya shughuli za Kilimo,Uvuvi,Ufugaji na kwa maisha ya kila siku. Taarifa hizi hutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini TMA kupitia mbalimbali vya Habari ikiwemo Pangani FM…

5 March 2021, 9:38 pm

Angalizo la Upepo Mkali lawafikia wavuvi Pangani.

Kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania TMA hapo jana kutoa angalizo la uwepo wa vipindi vya upepo mkali unaofikia kilimita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia ukubwa wa mita 200 kuanzia tarehe 4 hadi 8 mwezi wa…

5 February 2021, 1:45 pm

Wanaume watakiwa kuvunja ukimya vitendo vya Ukatili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wanaume kutoa taarifa kwenye mamlaka husika kuhusu ukatili wanaofanyiwa ili kutokomeza matukio ya ukatili nchini. Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma alipotoa tamko kuhusu…

2 February 2021, 9:14 pm

Waziri Ummy Mwalimu: NEMC ongezeni kasi ya kutoa Elimu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu kwa umma ili kuwasaidia wenye viwanda na wawekezaji kuzingatia Sheria…