Dodoma FM

Dini

18 September 2023, 3:34 pm

Viongozi wa dini watakiwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi

Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma limesimika viongozi 20 katika nafasi za huduma mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Viongozi waliosimikwa katika nafasi mbalimbali ndani ya Kanisa la Pentecostal Cristian International lililopo Mji Mwema Dodoma, wametakiwa kutoa huduma nzuri…

15 August 2023, 1:18 pm

Viongozi wa dini watakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji mbalimbali

Viongozi pia wamekumbushwa kuendelea kuliombea Taifa. Na Seleman Kodima. Wito umetolewa kwa watumishi na Viongozi wa Dini kuwa na Moyo wa kusaidiana watu wenye mahitaji mbalimbali pindi wanapokuwa kwenye majukumu ya  utumishi. Wito huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa…

10 August 2023, 12:10 pm

Jimbo kuu katoliki Dodoma lapokea sanamu ya Bikira Maria

Kwa mujibu wa imani ya kanisa katoliki, Mama bikira maria ndiye mama wa Yesu kristo Mkombozi wa ulimwengu,  ambaye ni muombezi wa kanisa ambapo baada ya kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Muasisi wa Taifa hili hayati Julius Kambarage…

1 August 2023, 3:29 pm

Uwekezaji wa bandari ni chanzo cha mapato ya nchi

Maaskofu walioapishwa ni pamoja na Askofu Simon Maloda wa Dayosisi ya Dodoma, Askofu Leoanard Matia Mbole wa Dayosisi Bahi. Na Pius Jayunga. Uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam umetajwa kuwa chanzo mojawapo cha ukusanyaji wa mapato ya nchi ili…

26 June 2023, 3:56 pm

Wanandoa watakiwa kumtegemea Mungu

Tukio hilo la kufungisha ndoa liliambatana na sherehe za dekania ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji zilizofanyika parokiani Kigwe ambazo zilitanguliwa na uzinduzi wa nyumba mpya ya mapadri parokiani hapo. Na Bernad Magawa. Makamu wa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki Dodoma…

14 June 2023, 12:10 pm

Viongozi kanisa katoliki waaswa kudumisha amani, baraka

Viongozi wamekumbushwa kuwa na mshikamo ili kuepusha migongano mbalimbali isiyokuwa ya lazima. Na Bernad Magawa. Viongozi wa kanisa jimbo kuu katoliki Dodoma wameaswa kuwa wasikilizaji wazuri wa shida za wale wanaowaongoza huku wakikumbushwa kufanya utafiti wa kina kabla wa kutolea…

10 April 2023, 12:22 pm

Waumini wa dini ya kiislamu washauriwa kuendelea kutenda mema

Ramadhani ni mwezi mtukufu ambao Waislamu hutumia mwezi wa Ibada wakiwa wamefunga, moja ya nguzo za Uislamu. Na Yussuph Hassan. Waumini wa dini ya kiislamu mkoa Dodoma wameshauri kuendelea kuutumia mwezi wa mtukufu wa ramadhani katika kutenda mema na zaidi.…

23 February 2023, 3:44 pm

Wakristo itumieni kwaresma kujipatanisha na Mungu

Lazima tufanye mazoezi ya kiroho kwa kutubu kidogo kidogo na hatimaye tuweze  kuacha dhambi kabisa, tusikubali kurudia katika dhambi. Na Bernad Magawa Wito umetolewa kwa wakristo  kukitumia vizuri kipindi cha kwaresma kuwa kipindi cha kufanya toba,  kujipatanisha kiroho na kumrudia…