Chai FM

Ukatili

16 June 2024, 8:45 pm

Vitendo vya ukatili kwa watoto kukomeshwa Rungwe

wadau wa kupinga vitendo vya ukatili kushirikiana na wazazi kutokomeza vitendo vya vya ukatili vilivyopo kwenye maeneo mbalimbali wilayani Rungwe RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Ikiwa kila ifikapo juni  16 Tanzania inaungana na mataifa mengine ya nchi za Afrika kuadhimisha siku…

9 May 2024, 1:16 pm

Jamii kukabiliana na ukatili mtandaoni Rungwe

Kutokana na kuwepo kwa vitendo vya ukatili mtandaoni dhidi ya watoto wazazi na walezi watakiwa kuwa mstari wa mbele katika malezi kwa watoto Na Noah Kibona Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imeendesha kampeni maalumu dhidi…