Michezo
17 December 2022, 6:58 AM
MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Omary Suleiman alianza kuifungia Mtibwa Sugar dakika ya 78, kabla ya Peteme Counou…
16 December 2022, 5:01 pm
Simba, Yanga Na Azam Zatenganishwa Kombe La Mapinduzi
MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari 1 hadi 13, mwakani. Kwa upande wao, mabingwa wa Bara, Yanga SC wao wapo Kundi B pamoja na Singida…
12 December 2022, 6:25 am
Timu ya Igowole FC yaibuka Mabingwa wa michuano ya Kihenzile Cup 2022
Timu ya Igowole FC imefanikiwa kuwa mabingwa wa mashindano ya Kihenzile cup and awards mwaka 2022 baada ya kuifunga Timu ya Nyololo Kwa Mikwaju ya Penalti baada ya kutoka sare ya kufungana goli 2-2 katika dakika 90 za mchezo. Kwa…
8 December 2022, 3:42 am
SHAMRA SHAMRA MIAKA 61 YA UHURU RUANGWA
Kuelekea maadhimisho ya siku wa Uhuru Tanzania Watumishi wilayani ruangwa wamejumuika na wananchi wa wilaya hiyo kwenye Bonanza maalumu la Michezo lilofanyika usiku wa taraehe 8/12/2022 katika uwanja wa Majaliwa Wilayani humo. Ambapo katika mchezo wa mpira wa miguu…
6 September 2022, 10:13 am
Denis Lavagne kocha mpya Azam FC
Hatimaye Uongozi wa Azam FC umekamilisha mchakato wa kumpata Kocha Mkuu, baada ya kuvunja mkataba wa Kocha kutoka nchini Marekani Abdihamid Moallin mwishoni mwa mwezi Agosti. Azam FC imethibitisha kukamilisha mchakato wa Kocha huyo kupitia kurasa zake za Mitandao ya…
25 August 2022, 7:31 am
WAZIRI MAJALIWA AWAPONGEZA WADAU WALIOCHANGIA SH. BILIONI 1.26 KWA TIMU ZA TANZA…
WADAU wa michezo nchini wamechanga jumla ya sh. bilioni 1.26 ili kuzisaidia timu za Serengeti Girls na Tembo Warriors ambazo zinatarajia kushiriki michuano ya kimataifa huko India na Uturuki. Akizungumza mara baada ya kupokea ahadi na michango ya wadau…
11 August 2022, 7:31 am
Timu ya Simba SC yaomba radhi hadharani
Klabu ya Simba inaomba radhi kwa waumini wa dini ya Kikristo, viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza kwenye tamasha letu la Simba Day Agosti 8 mwaka…
20 May 2022, 7:13 am
Simba SC yatangaza mpango wa ASFC
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuweka kambi jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ utakaowakutanisha dhidi ya Young Africans Jumamosi (Mei 28), katika Uwanja wa CCM Kirumba. Simba SC imetangaza rasmi…
07/10/2021, 5:53 pm
Serikali mbioni kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana
Na,Glory Paschal Waziri wa Nishati JANUARY MAKAMBA amesema serikali iko katika mchakato wa kuhakikisha inafikisha umeme wauhakika Mkoani Kigoma kwa kuunganisha Mkoa huu na Gridi ya Taifa kutoka vituo vya Nyakanazi na Tabora Mh. MAKAMBA amesema hayo wakati alipotembelea Kituo…
18 August 2021, 1:30 pm
Ajinyonga kisa wivu wa mapenzi Pangani.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Amury Mwin-dadi mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Mikinguni Wilayani Pangani Mkoani Tanga ajinyonga kutokana na wivu wa kimapenzi. Mrakibu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Pangani…