Michezo
4 May 2023, 1:03 pm
Mchezo wa kriketi kuongeza mahudhurio ya wanafunzi
Afisa michezo wilayani Kongwa amesema wanawajengea uwezo walimu waweze kuwasaidia watoto kumudu vitendo vya mchezo wa kriketi ili kupitia ubora wa timu za shule zao waweze kupata wachezaji wazuri wa kuunda timu za Wilaya na pia wapate fursa ya kuchaguliwa…
10 April 2023, 8:11 am
Mashindano ya Taifa ya mpira wa mikono yafanyika Bunda Mji
Kwa mara ya pili mfululizo mashindano ya mpira wa mikono (handball) Taifa yanafanyika katika ardhi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda. Mashindano haya yalianza siku ya Jumatano tarehe 04.04.2023 na kuzinduliwa na mdau mkubwa wa michezo Ndg. Kambarage Wasira katika…
5 April 2023, 12:41 pm
Wazazi Wapeni nafasi watoto kushiriki michezo
Wazazi wametakiwa kutenga muda wa kushiriki katika michezo baada ya masomo na kuwanunulia vifaa vya michezo ili wawe na afya bora. Na Adelphina Kutika Wazazi na wazazi Manispaa ya Iringa wametakiwa kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji…
4 March 2023, 5:27 pm
Bado wazazi wana wajibu wa kuibua vipaji vya watoto wao.
KATAVI Baadhi ya wazazi mkoani katavi wamesema wanao wajibu wa kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji walivyo navyo watoto na kuviendeleza ili viweze kuwa msaada kwa maisha ya baadae ya mtoto. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema…
28 February 2023, 4:58 pm
Tanroads Iringa yaicharaza Njombe 5-0
Katika kujenga mahusiano mazuri ya kiutendaji,TANROADS mkoa wa Iringa pamoja na mikoa ya Njombe na Mbeya wamefanya bonanza la michezo. Na Ansigary Kimendo TANROADS mkoa wa Iringa wamefanya bonanza la michezo lililoshirikisha watumishi wa TANROADS kutoka mikoa ya Njombe Mbeya…
14 February 2023, 9:41 pm
Huku PSG vs Bayern Munich huku AC Milan vs Spurs: uchambuzi toka Pangani
Na Erick Mallya Barani ulaya hii leo wapenzi wa soka watakuwa wameelekeza hisia zao pale katika dimba la parc des Princes Ufaransa katika mchezo wa hatua ya 16 bora kati ya PSG na Bayern Munich mchezo uliosubiriwa kwa hamu kubwa…
14 February 2023, 8:02 am
Mazingira FM yaadhimisha Siku ya Radio Duniani kwa bonanza kubwa Bunda
Katika kusherekea siku ya radio Duniani Mazingira fm imefanya Bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukimbiza kuku ,kukimbia na yai kwenye kijiko, mchezo wa bao na mpira wa miguu, ikiambatana na utoaji wa elimu na chanjo ya uviko-19…
30 January 2023, 6:49 am
Mangungu ashinda uchaguzi wa Simba Sc
Mwanachama wa Simba SC Murtaza Mangungu amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kupitia Mkutano Mkuu wa Uchaguzi 2023. Mkutano huo ulianza jana Jumapili (Januari 29) na kumalizika leo Jumatatu (Januari 30) katika Ukumbi…
19 December 2022, 6:56 AM
Argentina bingwa wa kombe la Dunia 2022
ARGENTINA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022 Pale wazee waliposema ya kale ni dhahabu walimaanisha kabisa hasa ukizingatia kilichotokea kwenye kombe la dunia nchini Qatari historia imeandikwa takribani miaka thelathini na sita nchi ya Argentina kuhusu story ya ushindi wa…
17 December 2022, 6:58 AM
MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Omary Suleiman alianza kuifungia Mtibwa Sugar dakika ya 78, kabla ya Peteme Counou…