Radio Tadio

Michezo

10 June 2023, 3:29 pm

Mashindano UMISETA yafungwa Katavi

KATAVI Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia michezo na kuzitengea bajeti idara zote za michezo katika maeneo yao. Maagizo hayo yametolewa na katibu tawala wa mkoa wa Katavi Hassan Rugwa wakati akifunga mashindano ya Umoja wa Michezo…

9 June 2023, 7:52 pm

Mafinga washinda tuzo saba mashindano UMISETA

Na Frank Leonard Halmashauri ya mji Mafinga imeshinda vikombe saba kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari (UMISSETA) ngazi ya mkoa. Mashindano hayo yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya JJ Mungai ya mjini…

7 June 2023, 4:19 pm

UMISETA wahimizwa nidhamu

Afisa usalama wilaya ya Kongwa Bwana Mwakasendo amesisitiza kuzingatia muda na kuwa wavumilivu kuendana na ulimwengu tulionao kwani muda ni siri ya ushindi. Na Bernadetha Mwakilabi. Wanafunzi 115 wa shule za sekondari wilayani Kongwa wanaoshiriki mashindano ya umoja wa michezo…

30 May 2023, 10:10 am

Wakurugenzi watenge bajeti sekta ya michezo

MPANDA Katibu tawala wa mkoa wa Katavi Hassan Rugwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani hapa kuhakikisha wanatenga bajeti ili kuwezesha sekta ya michezo. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za msingi…

22 May 2023, 5:53 pm

Mtembezi Marathon kutangaza utalii wa ndani

Akizungumza baada ya kikao hicho mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh Jabiri Shekimweri amefafanua malengo ya mbio hizo. Na Alfred Bulahya. Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Dodoma, Mtembezi Adventures, Pamoja na Dodoma Media Group imeandaa mbio maalum (Mtembezi Marathoni)…

17 May 2023, 4:51 pm

TMO yawasilisha rasimu ya ujenzi wa kituo cha michezo Mbande

Kwa mujibu wa viongozi wa Taasisi hiyo  ujenzi wa Kituo hicho utaleta tija kwa wananchi kwani utahusisha maeneo ya vitega uchumi mbalimbali yakiwemo maduka na huduma nyinginezo. Na Alfred Bulahya. Taasisi ya Tembea Kwa Matumaini Organization (TMO) imewasilisha rasimu ya…