Michezo
16 February 2024, 8:12 am
Ni muhimu kuwepo na uwiano wa kijinsia katika nafasi za uongozi?
Pamoja na jitihada na utekelezaji wa sera katika kuhakikisha kunapatikana usawa wa kjinsia katika nafasi za kiuongozi mashirika ya kijamii pia yananafasi kubwa mno haswa kuhamasisha jinsia ambazo hazishiriki kwa sehemu kubwa katika kutafuta nafasi hizo za kiuongozi. Na Wanahabari…
11 February 2024, 9:45 am
Malaigwanani wabadilisha mtazamo hasi juu ya wanawake jamii ya kimaasai
Na Isack Dickson. Wazee wa kimila wa jamii ya kimaasai malaigwanani (laigwanak) wamefanikiwa kubadilisha mitazamo hasi waliyokuwanayo wanajamii hao juu ya uwezo wa wanawake katika kufanya maamuzi ndani ya familia na hata kwenye jamii. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa malaigwanani…
9 February 2024, 10:39 am
Familia za jamii ya kimasai zabadilika katika maamuzi ya familia
Wapo wanaoamini kuwa ni muhimu wanawake kushiriki katika kutoa maamuzi kwenye ngazi ya familia na wengine wanaona si muhimu,wakiamini kuwa ni kinyume na mila na tamaduni za jamii ya kimaasai. NA Baraka David Ole Maika Jamii ya kimaasai ni jamii…
8 February 2024, 7:12 pm
Wanawake wanashiriki vipi katika kufanya maamuzi ya familia?
Wanakijiji wa kijiji cha Terrati Simanjiro mkoani Manyara Mwandishi wetu akifanya mahojiano na mwenyekiti wa Malaigwani wilaya ya Simanjiro Lesira Samburi. Mwanamke amekuwa akikosa nafasi ya kutoa maamuzi ngazi ya familia ikisemekana sababu kubwa ni mila na desturi za jamii…
24 December 2023, 7:04 pm
Dkt Biteko aongoza mamia mbio za Rombo marathon na ndafu festival
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Dkt Dotto Biteko amesisistiza ushiriki wa matukio ya kijamii ikiwemo shughuli za kijamii,michezo na matamasha mbali mbali ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakutanisha wananchi na taasisi lakini pia kuwajengea mahusiano mazuri baina…
16 December 2023, 10:25 pm
Arusha City yafungashiwa virago ASFC
Niwashukuru sana vijana wangu wameonyesha kiwango kizuri dhidi ya Singida maana wao wametuzidi vitu vingi Joel Headman. Arusha Unaweza kusema ni mkono wa bye bye ulioikuta timu ya mpira wa miguu ya Arusha City baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya…
14 December 2023, 11:41 am
Kufanya mazoezi pamoja kwatajwa kuongeza ushirikiano
[picha kwa msaada wa mtandao] “Kwanza michezo inaleta watu pamoja, kufahamiana kuleta ule undugu …pia mazoezi yanaongeza muda wa kuishi” Mratibu ndg. Mbaga Na Isack Dickson Mratibu wa michezo wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara bwana CHARLES MSENGI MBAGA Amesema…
10 December 2023, 6:37 pm
Ngorongoro yanogeshwa na uhuru cup bonanza
Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro imeadhimisha miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika kwa kuandaa mashindano ya mpira wa miguu yaliyokutanisha timu nne ambazo ni Serengeti boys,Loliondo sports,soitsambu fc na Merau fc. Na Zacharia James Timu Soitsambu fc wametawazwa kuwa mabingwa…
13 November 2023, 11:19 am
Rais Samia atoa ndege kwa Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha timu ya Taifa ya Soka, Taifa Stars kwenda Marrakesh kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa ugenini Novemba 18, mwaka huu, nchini Morocco. Timu…
13 November 2023, 9:24 am
Serengeti safari marathon kuunga mkono royal tour
Mamia ya watanzania wajitokeza kushiriki mbio za Serengeti Safari Marathon kuunga mkono juhudi za Rais Samia za Royal Tour. Na Alex Sayi Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Vicent Naano amesema kuwa mbio za Serengeti Marathon zinaendelea kuunga mkono…