Michezo
25 March 2024, 3:17 pm
MAKALA; Kutana na Neema mwanamke aliyeshinda mila zinazomzuia mwanamke kushiriki…
“Kuna wanawake ambao wameweza kukabiliana na mila na tamaduni kandamizi na wanashiriki kwenye vyombo vya maamuzi” Na Dorcas Charles. Katika jamii ya kimaasai wanawake mara nyingi hawananafasi ya kutoka majumbani na kwenda kushiriki katika mikutano mikuu ya vijiji ama vitongoji…
21 March 2024, 7:05 pm
TARURA kutumia zaidi bil. 4.1 ukarabati wa miundombinu Maswa
Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA)Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wanatarajia kuzifanyia marekebisho Barabara zenye mtandao wa Km,227.21 zilizoathiriwa na Mvua za msimu. Na. Alex Sayi Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imeendelea na matengenezo ya barabara…
March 21, 2024, 12:38 pm
Viongozi kituo cha mabasi Kahama wadaiwa kujinufaisha milioni 19, DC Mhita awaka
Umoja wa vikundi mbalimbali vilivyopo kituo cha mabasi cha CDT wamemuomba mkuu wa Wilaya ya Kahama Mheshimiwa Mboni Mhita kuwasaidia kutatua changamoto zinazowakabili katika eneo hilo ikiwemo urejeshwaji wa fedha zinazodaiwa “kutafunwa” na baadhi ya viongozi waliotoka madarakani. Na Neema…
20 March 2024, 6:04 pm
Wanajamii watakiwa kutunza miundombinu ya maji.
Na Joyce Elius. Wakaazi wa Kijiji cha Terrat wilayani simanjiro wametakiwa kutunza vyanzo vya maji pamoja na miundombinu ya maji ili iwe endelevu na kuendelea kutumiaka kwa vizazi vijavyo. Wito huo umetolewa siku ya leo kijijini hapo katika mkutano wa…
19 March 2024, 8:59 pm
Dkt.Serera Mgeni rasmi kilele wiki ya maji Simanjiro.
“Kwanini tumechagua Terrat kufanyika kilele cha wiki ya maji kwanza tumetekeleza mradi wa maji hivi karibuni ,lakini kingine ni utayari wa kwanzia ofisi za wilaya hadi huku chini lakini pia na ratiba yetu”Mhandisi Joanes Martin Meneja RUWASA Simanjiro. Na Mwandishi…
13 March 2024, 7:56 pm
Mama mjamzito apigwa nusura ujauzito utoke
Ukatili wa kijinsia bado unaendelea kuwa tishio kwa maisha ya wanawake wengi hasa kwenye jamii ya kimaasai, kufuatia vipigo kutumika kama sehemu ya adhabu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wa jamii hii kwa wake zao. Na Joyce Elius. Bi. Penina…
9 March 2024, 10:09 am
NCAA yapokea gari la kutatua migogoro kati ya binadamu, wanayamapori
Na mwandishi wetu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongro (NCAA) imepokea gari aina ya Suzuki Jimny kutoka shirika lisilo la kiserikali la Elephant Protection Initiative (EPI) ya nchini Uingereza kupitia mbia wake Kampuni ya ulinzi ya GardaWorld Tanzania kwa lengo la…
8 March 2024, 6:27 pm
Unakabiliana vipi na tamaduni zinazomnyima mwanamke fursa ya kushiriki katika mi…
leo ni siku ya maadhisho ya wanawake duniani na kauli mbiu ya mwaka huu inasema ” Wekeza kwa mwanamke kuharakisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii” Bado kuna mifumo dume na mila potofuĀ zinazoweka vikwazo na masharti kwa wanawake…
8 March 2024, 2:03 pm
Unashirikiana na kiongozi wako katika utunzaji wa vyanzo vya maji?
Jamii kwa ujumla ina nafasi kubwa katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kutunzwa lakini kuna changamoto kadhaa ikiwemo wao wenyewe kutofahamu umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji. Nchi yetu imejaliwa kuwa na vyanzo vya maji vya aina mbalimbali ikiwa…
16 February 2024, 8:12 am
Ni muhimu kuwepo na uwiano wa kijinsia katika nafasi za uongozi?
Pamoja na jitihada na utekelezaji wa sera katika kuhakikisha kunapatikana usawa wa kjinsia katika nafasi za kiuongozi mashirika ya kijamii pia yananafasi kubwa mno haswa kuhamasisha jinsia ambazo hazishiriki kwa sehemu kubwa katika kutafuta nafasi hizo za kiuongozi. Na Wanahabari…