Michezo
8 May 2024, 3:10 pm
Kuna nafasi sawa ya kijinsia katika kumiliki ardhi?
Na Joyce Elius. Baadhi ya maeneo na jamii zimekua haziamini mwanamke katika kumilikisha ardhi na hii inatokana na mila na desturi za jamii husika. Sera ya taifa ya ardhi ya mwaka 1995 inatambua kuwa wanawake na wanaume wana haki sawa…
8 May 2024, 2:11 pm
Unatoaje taarifa za rushwa kwenye kituo cha afya?
Na Isack Dickson. Kwa mujibu wa sera ya afya ya mwaka 2020 inakemea rushwa kwenye utoaji wa huduma za afya na inasisitiza uwazi, uwajibikaji na maadili katika sekta ya afya. Bado changamoto kubwa jamii haina uelewa namna ya kuripoti vitendo…
8 May 2024, 10:46 am
Ongezeko la mifugo linavyotishia uhai wa ushoroba wa Kwakuchinja
Na Isack Dickson. Tanzania ikiwa moja ya nchi zenye mkakati wa kuongoa shoroba bado, inaendelea na jitihada hizo kuhakikisha mapitio ya wanyama yanakua salama. Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Tanzania ina jumla ya shoroba 61 ambapo 41…
3 May 2024, 09:48
Wanawake jitokezeni kupata mafunzo ya kujenga ndoa zenu
Kutokana na utandawazi kuendelea kukua katika ulimwengu huu wanawake wametakiwa kujitokeza katika semina mbalimbali kujifunza namna bora ya kuishi kwenye ndoa zao. Na Iman Anyigulile Wanawake mkoani Mbeya wametakiwa kujifunza mara kwa mara mafundisho ya ndoa ili kuweza kuimarisha ndoa…
2 May 2024, 8:32 am
Mikutano inayoitishwa na kiongozi wako inawashirikisha wazee kujadili Upatikanaj…
Nijuze Radio Show. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 idadi ya wazee wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea nchini Tanzania ni milioni 3.7 sawa na asilimia 6.0 ya watu wote. Lakini kuna baadhi…
2 May 2024, 8:08 am
Wazee ni muhimu katika miradi ya Maji.
Na Evander Barnaba. Wazee wamekuwa ni watu muuhimu mno katika maamuzi mbalimbali kwenye jamii,na hii ni zaidi kwa jamii za kifugaji haswa Wamasai iwe ni kwenye maamuzi ngazi ya Familia,Kijiji na hata jamii kwa ujumla. Katika makala fupi hii ya…
10 April 2024, 6:00 pm
DC Maswa atangaza kiama kwa wakandarasi wazembe
Hatuwezi kuwa na wakandarasi wazembe namna hii ambao hawafanyi kazi kwa mujibu wa mkataba na hawajui ni adha gani ambayo wananchi wanaipata nishauri serikali imfute mkandarasi na kampuni yake hiyo katika orodha ya Wakandarasi hapa nchini. Na ,Daniel Manyanga Mkuu…
5 April 2024, 4:40 pm
Kiongozi wako anatoa nafasi kwa wanawake kufuatilia utekelezaji wa miradi ya afy…
Kwa mujibu wa Sera ya Maendeleo ya Jinsia ya mwaka 1992 inalenga kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja zote za maendeleo, Sera hii inasisitiza kuwashirikisha wananwake katika kupanga, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo katika ngazi…
27 March 2024, 8:01 pm
Wazazi watakiwa kuwasimamia watoto ili kufikia ndoto zao za kielimu.
“Wazazi tunatakiwa tujue mahitaji ya watoto wetu na tuwasaidie kuwatimizia mahitaji hayo kwani wakati mwingine ndiyo yanasababisha wawe watoro.” Mzazi Na Joyce Elius. Kikao cha wazazi na uongozi wa shule ya seckondari ya Terrat wilaya simanjiro pamoja uongozi wa kata…
25 March 2024, 3:36 pm
Unakabiliana vipi na mila na desturi zinazokwamisha wanawake kushiriki kwnye vyo…
Na mwandishi wetu. Wanawake hawana nafasi kubwa ya kushiriki katika mikutano,mijadala na hawana ujasiri wa kutoa maoni yao haswa wanawake wa jamii ya kifungaji,na hii ni kutokana na mila na desturi kandamizi. Lakini zipo familia ambazo zimeweza kuachana na mila…