Michezo
11 June 2024, 08:56
Wahandisi washauri watakiwa kusimamia miradi kwa ukaribu
Serikali imesema haitawavumilia wahandisi washauri wanaoshindwa kusimamia vyema miradi mbambali ya barabara inayotekelezwa maeneo mbalimbali nchini. Na Tryphone Odace Naibu Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu OR-TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila amewataka Wahandisi Washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara nchini kusimamia…
10 June 2024, 5:05 pm
Arusha Express yaua wa 3 Manyara
Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi awataka wananchi mkoani Manyara kuchukua tahadhari kwa kuangalia usalama wao pindi ajali zinapotokea kwa kuacha kusogea karibu na eneo la tukio. Na George Augustino Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada…
10 June 2024, 10:48
“Wakulima tumieni mbegu bora za kahawa”
Serikali wilayani Kasulu mkoani Kigoma inatarajia kugawa mbegu bora za kahawa kwa wakulima ili waweze kulima kilimo chenye tija ambacho kitakuwa na mazao ya kutosha na yenye ushindani kwenye soko la ndani na nje ya nchi. Na Michael Mpunije Wakulima…
7 June 2024, 4:49 pm
Maadhimisho ya siku mazingira duniani
picha na Mtandao Tanzania inapoteza takriban hekta 372,000 za misitu kila mwaka kutokana na ukataji miti kwa ajili ya kuni, mkaa, na kilimo. Ukataji miti umesababisha kupungua kwa eneo la misitu kutoka 45% ya eneo lote la nchi mwaka 1990…
7 June 2024, 3:41 pm
Mikutano ya kiongozi wako inawashikirisha wanawake kujadili fursa za uongozi?
Na Dorcas Charles Jamii nyingi wanawake hukosa nafasi ya kushiriki katika maamuzi ya uongozi kutokana na milia na desturi Si mila pekee hata tamaduni za maeneo mengi nchini pia yamekuwa yakiwanyima fursa hiyo muhimu wanawake Wananchi wakijbu swali ikiwa mikutano…
5 June 2024, 12:12
“Wafanyabiashara fanyeni miamala benki kuepuka fedha bandia”
Wafanyabiashara nchini wametakiwa kutumia benki kuu ya tanzania ili kuhakiki pesa zao kabla ya kufanya miamla ya pesa kwa lengo la kuepuka kuoewa pesa bandia. Na Tryphone Odace Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa wito kwa wafanyabiashara nchini kufanya miamala…
5 June 2024, 11:43
BoT yawataka wananchi kutunza fedha kwa njia sahihi
Katika kuhakikisha fedha zilizopo kwenye mzunguko nchini zinaendelea bora na kutokuwa na madhara kwa watumiaji, Benki kuu ya tanzania imeelekeza wananchi kuhakikisha wanaweka pesa zao katika mazingira rafiki. Na Tryphone Odace Wito umetolewa kwa wananchi nchini kutunza fedha kwa njia…
3 June 2024, 4:24 pm
DC Geita aagiza GEUWASA kukamilisha mradi wa maji Nyankanga
Licha ya matarajio ya kukamilika wa mradi mkubwa wa maji maarufu kwa Bwawa la Nyanakanga ili kuweza kuwasaidia wananchi, bado hali ni tete kutokana na mkandarasi kusua sua katika utekelezaji wa mradi huo. Na: Kale Chongela – Geita Mkuu wa…
3 June 2024, 12:54
Serikali yaombwa kubadili mfumo wa udahili wanafunzi vyuo vya elimu ya juu
Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limepata askofu mpya baada ya kustaafu kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo hilo Dkt.Alinikisa Cheyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mpya wa Kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la kusini magharibi Robert Pangani ameiomba serikali…
3 June 2024, 11:53
Hatimaye mch.Robart Pangani awa askofu kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusi…
Kanisa la Moravian jimbo la kusini magharibi wakiongozwa na maaskofu wa kanisa hilo Tanzania wameshiriki Ibada ya kumuweka wakfu Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi Mchungaji Robert Pangani. Na Ezra Mwilwa Wachungaji na wakristo wa kanisa…