Radio Tadio

Michezo

24 June 2024, 17:53

Wakristo watakiwa kuwa na upendo

Umoja wa wakristo wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi wameombwa kuwa na upendo baina yao katika kuitenda kazi ya Mungu. Na Lukia Chasanika Katibu mkuu wa kanisa la Moravian Tanzani Jimbo la Kusini Magharibi Israel Mwakilasa amewataka…

24 June 2024, 14:56

Wakuu wa idara acheni kutuma wawakilishi

Serikali wilayani kasulu imetakiwa kuhakikisha wakuu wa idara wanahudhuria mikutano yote na kuacha kutuma wawakilishi kwani wengi wao wamekuwa wakishindwa kujibu hoja ama maswali wanayoulizwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wakuu wa idara wa halmashauri ya Mji Kasulu wametakiwa kuacha…

20 June 2024, 13:45

RC Kigoma atoa mwezi mmoja Kasulu kujibu hoja za CAG

Halmashauri ya wilaya kasulu imetakiwa kupitia na kujibu hoja zote zilizoibuliwa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG ili kuondoa dosari za mahesabu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna jenearali mstaafu wa jeshi la…

14 June 2024, 12:06

Wanachuo 48 FDC Kibondo wapatiwa msaada

Shirika la Social Action Trust Fund (SATF) limetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni mkakati wa kusaidia kuendeleza ujuzi kwa wananfunzi wanaoupata chuoni hapo FDC Kibondo. Na James Jovin – Kibondo Wanafunzi wa fani ya ufundi stadi wapatao 48 waliohitimu…

13 June 2024, 08:54

Daraja lililokatika kwa elnino lajengwa Tabora

Serikali imesema itaendelea kuhakikisha miundombinu ya madaraja na barabara iliyoharibika kutokana na mvua za Elnino zilizonyesha msimu wa masika mwaka huu inakarabatiwa ili kurahisisha usafirishaji na kukuza uchumi wa wananchi na jamii kwa ujumla. Na Tryphone Odace Wananchi wa Kata…

12 June 2024, 11:56

Askofu Nguvumali wa Moravian,atangaza kustaafu September 2025

Kanisa la Moravian kupitia katiba za majimbo yake limekuwa utaratibu wa ukomo wa uongozi unaoendana na umri,hali hiyo inaleta mabadiliko ya Kiongozi kwani inatoa fursa ya kufanya uchaguzi upya wenye demokrasia. Na Hobokela Lwinga Askofu Kiongozi kanisa la Moravian Tanzania…

11 June 2024, 12:16

Ukosefu wa mbolea kikwazo kwa wakulima wa tumbaku

Wakulima wa zao la tumbuku nchini tanzania wameiomba serikali kusimamia suala la utoaji wa mbolea ili ziweze kutoka mapema ili waweze kuendana na msimu wa kulimo hicho ambacho kinaonekana uzalishaji wake kuongezeka. Na Emmanuel Matinde – Kigoma Imeelezwa kuwa licha…

11 June 2024, 11:26

Askofu Pangani:lindeni amani ya kanisa na Taifa

Kila mwananchi anawajibu wa kuendelea kulinda taifa lake kwa kulinda amani, kuanzia katika ngazi ya familia Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mhashamu Robert Pangani amewataka wakristo wote kuilinda Amani ya kanisa na…