Radio Tadio

Maendeleo

15 January 2025, 10:57 am

CCM yazindua jengo la kitega uchumi Jumuiya ya wazazi Geita

Watumishi wa  Umoja wa Jumuiya wa wazazi kupitia chama cha mapinduzi (CCM mkoa wa Geita  wametakiwa kutunza na Kulinda Nyumba za Jumuiya hiyo na wala wasigeuze Matumizi yake. Na: Nicholaus Lyankando – Geita Wakizungumza katika uzinduzi wa Jengo jipya  la…

4 December 2024, 10:53 am

Mnara wa Mawasiliano kujengwa kijiji cha Msolokelo Morogoro

Waziri Silaa amewahakikishia wananchi wa Msolokelo kufikishiwa huduma za mawasiliano katika kipindi kifupi kijacho. Na Mariam Matundu.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ametoa maelekezo kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kushirikiana na…

7 November 2024, 8:56 pm

DC Bunda: Usipange kukosa Bunda Nyama choma Festival

Mkuu wa wilaya ya Bunda amewataka wakazi wote wa Bunda kushiriki kikamilifu katika tamasha hilo maana linazo fursa nyingi za kiuchumi kuanzia kwa wafanyabiashara hadi bodaboda. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano amewataka  wakazi wote…

28 September 2024, 9:46 am

Ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Buhalahala waanza

Wana-CCM kata ya Buhalahala wameanza mchakato wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho katika kata hiyo ili kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kukosa ofisi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Buhalahala iliyopo…

5 September 2024, 6:40 pm

Twange akabidhi ofisi kwa DC mpya

Baada ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Babati Lazaro Twange kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa wilaya ya Babati ,amezishukuru taasisi zote zilizopo chini ya ofisi hiyo kwa kumuonyesha ushirikiano katika utendaji wa kazi wakati wote alipoKuwa akifanyakazi katika wilaya…

2 September 2024, 10:59 am

Wananchi watoa maoni mapendekezo bei mpya ya umeme

Kwa sasa bei za Uniti za Umeme Nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na matumizi na Ruzuku za Serikali. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya mapendekezo yaliyotolewa Bungeni Jijini Dodoma juu ya mapatio mapya…

22 August 2024, 4:45 pm

CCM wilaya ya Geita yatoa tamko ufatiliaji wa miradi

CCM wilaya ya Geita kuwachukulia hatua baadhi ya wajumbe ambao wamekuwa wakitumia pikipiki  za chama hicho kusafirisha abiria jambo ambalo ni kinyume na malengo. Na: Kale Chongela – Geita Katibu wa CCM wilaya ya Geita ndugu Marko Msuya leo Agosti 22,…