Baraka FM

Kilimo

12 June 2024, 12:27

TARI nchini yawafikia wakuliwa migomba Busokelo,Mbeya

Zao la migomba ni zao la chakula na biashara ,katika nchi ya Tanzania ipo mikoa ambayo imekuwa na uzalishaji mwingi kupitia kilimo hicho ikiwemo mikoa ya Kagera eneo la Bukoba na Mbeya katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe na Busokelo.…

5 June 2024, 18:40

Wazazi washauriwa kulima mazao lishe kwa watoto

Limeni mazao ya yenye kusaidia kujenga afya za watoto wenu katika kukuza uwezo mkubwa wa watoto. Na Lukia Chasanika Wazazi na walezi wameshauriwa kulima mazao lishe ili kuwasaidia watoto kupata virutubisho ambavyo vitawasaidia kukua kiakili na kimwili. Hayo yamesemwa na…