Baraka FM

Elimu

18 June 2024, 21:17

Askari 49 wa zimamoto na uokoaji wavikwa nishani Mbeya

Jeshi la zimamoto kuongezewa vifaa vyautenda kazi katika bajeti ya Serikari ya awamu ya sita 2024/2025 kauli hiyo imetolewa na mkuu wa jeshi hilo Jenelali John Masunga mkoani Mbeya. Kamishina Jenelari wa Jeshi zimamoto na uokoaji John Masunga amemuwakilisha Rais…

4 June 2024, 14:52

Wazazi zingatieni malezi bora ya watoto

Malezi bora ya mtoto ndiyo yanategemea zaidi uwepo wa maadili bora kwenye jamii na endapo jamii itakosa maadili bora kwa watoto basi jamii hiyo itakuwa na kizazi ambacho kitakuwa hakina maadili mazuri. Ivillah Mgala Wazazi wametakiwa kuwalea watoto katika maadili…

21 May 2024, 16:12

NSSF yawajengea uwezo wastaafu watarajiwa mkoani Mbeya

Katika kuhakikisha wafanyakazi kwenye taasisi zao wanapata haki zao,waajiri kulipa michango ya wafanyakazi wao kwa wakati ili kuwaondolea usumbufu pindi wanapostaafu. Na Ezekiel Kamanga Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya Emmanuel Kayuni amefungua mkutano wa Wastaafu Watarajiwa uliondaliwa na Shirika…

20 May 2024, 10:38

Wahitimu wa vyuo tumieni fursa zinazojitokeza

Kufuatia soko la ajira linalo endelea hapa Nchini kuwa finyu wahitimu wanapaswa kutafuta njia mbadala wa kujiajiri. Na Ezra Mwilwa Wanafunzi wanaoelekea kuhitimu masomo ya vyuo wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza bila kujali tahasusi walizozisomea vyuoni. Wito huo umetolewa na…