Afya
18 March 2024, 5:07 pm
Mabadiliko ya tabia ya nchi, kikwazo kwa mapambano dhidi ya malaria Zanzibar
Na Mary Julius. Zanzibar imepiga hatua kubwa ya kumaliza malaria licha ya kutokea mlipuko wa maradhi katika siku za hivi karibuni . Wizara ya Afya Zanzibar imesema itaendelea kushirikiana na mashirika ya kimataifa na wadau wengine kuhakikisha kuwa maradhi ya…
12 March 2024, 6:45 pm
Wizara ya Afya Zanzibar yatoa ripoti vifo vya watoto tisa
Na Mary Julius Kufuatia vifo vya watoto tisa waliofariki kwa kula nyama ya kasa, Wizara ya Afya Zanzibar imewataka wananchi visiwani humo kuacha kula nyama hiyo. Wizara ya Afya Zanzibar imetoa ripoti ya utafiti uliofanywa kufuatia watoto tisa kufariki dunia…
11 March 2024, 5:12 pm
Jamii yatakiwa kuona umuhimu wa kuchangia damu kwa hiari
Na Mary Julius. Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahamoud amesema serikali inahitaji kuwa na akiba ya kutosha ya damu salama ili kuokoa maisha ya watu pale wanapokabiliwa na majanga. Akizungumza katika zoezi la uchangiaji damu huko kiwanja…
4 February 2022, 5:05 pm
Kaskazini A Unguja na Micheweni Pemba, kunufaika na Pharm Acces
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui amesema wizara ya afya itaendelea kushirikiana na mashirika binafsi ili kuweza kuwasaidia wananchi wa visiwa vya Zanzibar. Akizungumza katika makabidhiano ya kupokea vifaa vya kuboresha huduma za afya…
2 December 2021, 2:51 pm
Pharm Access waleta neema Zanzibar
Na Fatma Ali Mohd:Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikishirikiana na Shirika lisilo la kiserikali Pharm Access linaandaa mikakati ya kuhakikisha Zanzibar inaanzisha mfuko wake wa huduma…