wazanzibar watakiwa kuchanja chanjo ya uviko 19
Zenj FM

Wazanzibar watakiwa kuchanja chanjo ya uviko 19

16 November 2021, 2:06 pm

Waziri wa afya ustawi wa jamii, wazee, jinsia na watoto zanzibar Nassor Ahmed Mazrui

Na Thuwaiba Mohammed

Waziri wa afya ustawi wa jamii wazee jinsia na watoto Zanzibar Nasor Ahmed Mazrui amewataka wazanzibar kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na ugonjwa huo.

Waziri Mazrui ametowa wito huo  na kusema wananchi wenye umri kwanzia miaka 18 na kuendelea kujihimu kuchanja kwani ukipata chanjo hiyo utakuwa umetengeneza kinga ya kupambana na ugonjwa huo na kuwakinga wengine.