Uvinza Fm

Afya

08/09/2021, 5:43 pm

Wafungwa na watumishi wa gereza wapokea chanjo ya uviko 19

Na,Glory Paschal Wafungwa na watumishi katika gereza la bangwe mjini kigoma, wamepokea chanjo ya uviko 19 kwa kuchwanjwa ili kuendelea kujilinda na maambukizi ya ugonjwa huo na kuendelea kujilinda na kuwalinda ndugu jamaa na marafiki wanaowatembelea gerezani Wamesema hatua hiyo…

03/09/2021, 5:57 pm

Dawa ya kupunguza makali ya Vvu yaanza kutolewa

Na,Glory Paschal Dawa ya kupunguza Makali ya  virusi vya UKIMWI imeanza kutolewa kwa miezi sita kwa wagonjwa wenye maambukizi ili kusaidia kupunguza makali ya virusi hivyo. Hayo yamezungumzwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Saimon Chacha, nakusema wagonjwa…

19/08/2021, 4:34 pm

Shirika la afya WHO latoa msaada wa baiskeli 100

Na,Glory Paschal Shirika la afya Duniani, WHO limetoa msaada wa baiskeli 100 Mkoani Kigoma kwaajili ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliopo katika maeneo ya mipakani na katika kambi za wakimbizi ili kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko Akikabidhi…

11/08/2021, 7:29 pm

Waliopokea chanjo ya uviko 19 afya zao ni salama

Na,Timotheo Leornadi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ruchugi kata ya Uvinza wilayani Uvinza Mkoani Kigoma ambao tayari wamepokea chanjo ya UVIKO -19 wamesema ni salama kwa afya, nakwamba wale ambao bado wanamitazamo hasi wakachajwe  kulinda maisha yao Hayo wameyasema…

27/05/2021, 4:55 pm

Wananchi waiomba Serikali kudhibiti maeneo hatarishi

Na,Glory Paschal Wananchi Mkoani Kigoma wameitaka Serikali kudhibiti maeneo hatarishi ya mito na mabwawa machafu yanayochochea ongezeko la magonjwa ya kichocho na minyoo hasa kwa watoto Wamesema maeneo mengi yamejaa maji Machafu hivyo ni muhimu elimu ikatolewa kwa kuwashirikisha wananchi…

17/05/2021, 5:30 pm

Wananchi walia na zahanati

Na,Timotheo Leonardi Wananchi wa Kitongoji cha Kazaroho Kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wameiomba serikali kuwajengea Zahanati katika kitongoji hicho, ilikuondoa usumbufu ambao wamekuwa wakikutananao kinamama wajawazito, kwa kutembea umbali mrefu hali ambayo hupelekea wakati mwingine kujifungulia njiani Wakizungumza…

21/04/2021, 10:22 am

Suluhisho la Vifo vya Wajawazito lapatikana

KIGOMA Na, Glory Paschal Serikali ya Mkoa wa Kigoma ikishirikiana na wadau wa Afya imezindua mpango wa dharula wa miaka mitatu ya kukabiliana na vifo vya mama mjamzito na mtoto mchanga ambavyo kwa sasa vimeongezeka na  kufikia asilimia 95 katika vituo…