Uvinza Fm

Habari za kigoma

12/01/2022, 7:01 pm

Mikutano ya kisheria husaidia kutatua migogoro ya wananchi

Na,Rosemary Bundala Mikutano ya kisheria katika halmashauri za vijiji imetajwa kuwa njia mojawapo ya kutatua matatizo pamoja na migogoro  kwa wananchi Hayo yamezungumzwa na wanachi wa wilaya ya uvinza mkoani Kigoma Bwana VICENT LAZARO na  Bi MWAMINI JUMA  wakati wakizungumza…

05/01/2022, 5:44 pm

Radi yaua watu watano wa familia tofauti

Na,Editha Edward Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Kigoma zikiambatana na radi imepelekea ajali ya radi ambapo imepiga watu watano na kusababisha vifo Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma JAMES MANYAMA…

24/11/2021, 4:09 pm

Wanawake watakiwa kuunda vikundi ili wapate mikopo ya Serikali

Wanawake wajasiriamali Mkoani Kigoma wametakiwa kuunda vikundi, ili waweze kupatiwa mikopo na Serikali ili kuweza  kendeleza shughuli zao na kujikomboa kiuchumi Hayo yamesemwa na Afisa Maendeleo Halmashauri ya wilaya ya Kigoma ZILIPA KISONZELA mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya…

19/11/2021, 7:13 pm

Shilingi bilioni 2 kujenga vyumba vya madarasa

Na,Glory Paschal Wananchi Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la Ujenzi wa vyumba 48 vya madarasa, ambavyo vinatakiwa kukamili ndani ya siku 45  Mkuu wa Wilaya ya Kigoma ESTER MAHAWE , akizungumza na wananchi wa kata ya…

18/10/2021, 7:24 pm

Serikali yajipanga kujenga mwalo wa kisasa

Na,Glory Paschal Naibu wa Waziri wa Uvuvi na mifugo ABDALLAH ULEGAamesema Serikali imejipanga kujenga mwalo wa kisasa wa Katonga Manispaa ya Kigoma Ujiji ili wavuvi wapate sehemu Ya kuanika dagaa na kiwanda cha kusindika dagaa. Mh. ULEGA amesema hayo akiwa…

12/10/2021, 5:57 pm

Majangili wawili wakamatwa

Na,Glory Paschal Polisi mkoani Kigoma wamesema kwa nyakati tofauti wamefanikiwa kuwakamata watu wawili wakituhumiwa kujihusisha na ujangili Pamoja na uhalifu mwingine katika matukio mawii tofauti yaliyotokea Oktoba tisa katika Wilaya za Kibondo na Uvinza Kamanda wa Polisi Mkoa wa KigomaJAMES…

07/10/2021, 5:53 pm

Serikali mbioni kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana

Na,Glory Paschal Waziri wa Nishati JANUARY MAKAMBA amesema serikali iko katika mchakato wa kuhakikisha inafikisha umeme wauhakika Mkoani Kigoma kwa kuunganisha Mkoa huu na Gridi ya Taifa kutoka vituo vya Nyakanazi na Tabora Mh. MAKAMBA  amesema hayo wakati alipotembelea Kituo…

29/09/2021, 7:29 pm

Wajasiriamali wametakiwa kutunza mazingira

Na,Glory Paschal Wajasiriamali nchini wametakiwa kuzingatia elimu ya utunzaji wa mazingira inayotolewa na baraza la uhifadhi wa mazingira NEMC ili kuweka mazingira safi na salama. Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa NEMC Nchini Bw. Samwel Gwamaka wakati akiongea na…