Unyanja FM

Mila na desturi zazuia fursa nyasa

October 13, 2021, 9:13 am

Wanawake wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma,wailalamikia serikali kwa kukosa fursa ya kufanya kazi mbalimbali ikiwemo uvuvi katika ziwa nyasa na uuzaji wa samaki.

unyanja fm ilifika mpaka ziwani na kuongea na baadhi ya wanawake hao,wanao jihusisha na biashara ya samaki na dagaa

Hata hivyo wavuvi wa ziwa hilo waiomba serikali kutoa Elimu kwa jamii hiyo ili kuondokana na mila potofu lengo ni kujikwamua kiuchumi  na kuondokana na umaskini

Jamii nyingi za Afrika zimekuwa zikiamini kuwa baadhi ya kazi ni kwaajili ya wanaume tu wanawake hawawezi kuzifanya.