Radio Tadio
TFRA
8 January 2025, 2:00 pm
Wakulima Manyara watakiwa kujisajili kupata ruzuku ya mbolea na mbegu
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania TFRA Kanda ya Kaskazini imewataka wananchi mkoani Manyara kujisaliji katika maeneo wanayofanya shughuli zao za kilimo ili kunufaika na ruzuku ya mbolea na mbegu ambazo zinatolewa na serikali. Na Mzidalfa Zaid Wakulima mkoani Manyara…