Kibaigwa
30 May 2023, 4:29 pm
Wananchi waomba maboresho soko la kimataifa Kibaigwa
Soko la kimataifa la Kibaigwa ni utambulisho wa wilaya ya Kongwa kimataifa hivyo lazima litunzwe kama chanzo cha mapato. Na Bernadetha Mwakilabi. Wafanyabiashara wadogowadogo katika soko la mazao la kimataifa la Kibaigwa wilayani Kongwa wameiomba serikali kufanya maboresho ya kisasa…
29 May 2023, 7:39 pm
Kongwa: Wananchi waridhia kuhama kupisha chanzo cha maji
Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wa kitongoji cha Kawawa kilichopo katika mamlaka ya mji mdogo Kibaigwa wilayani Kongwa wameridhia kuhama ili kupisha eneo la chanzo cha maji lililopo kitongojini hapo lenye ukubwa wa hekari 28. Hayo yamejiri mapema katika ziara yake…
3 May 2023, 5:11 pm
Wananchi kibaigwa wafunguka kero wanazo pata katika huduma za jamii
Shilingi milioni 150 imetengwa kwaajili ya kuongeza vifaa tiba ambapo kabla ya kufika mwezi wa Saba mwaka huu kituo cha afya kibaigwa kitaanza kutoa huduma za upasuaji. NA, Bernadetha Mwakilabi. Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kibaigwa ulioko wilayani…